Mchungaji kweli?
 
Kumbe ulishukuru wakati wa JK, na sasa unashukuru wakati wa Magufuri? Kipi umefurahishwa na wote wawili? Yaani hueleweki unapenda nini
 
Magufuli is the hero of our nation and JKN II. Hilo halina ubishi. Marais wote wakiwa kama yeye nbasi ndani ya miaka 30 tutakuwa mbali sana kiuchumi.
 
Dah ... Ndiyo hasa aina ya Rais wengi tulimuhitaji...maana tulikuwa tumefikia pabaya Sana...kila mtu anawaza kupiga tu
 
Alif be, te
Mwalim kavaa msulupwete
Wa Marx, gwiji wa bao, kidete
Kazikosea kucheza kete
Ali Mwinyi katuletea ubwete
Mkapa katutolea ki fete
Katuachia bwana Kikwete
Watu wakala chuma ulete
Na Magu katufungia utepe
Hakuna gia za lete tupete
Huu utani utanifanya nicheke
Usilogwe useme nidekee
Turudi kijijini kaa Kipepe
Si Burundi, bongo nchi ya kipekee
 
Magufuli yupi?
Ni yule aliyekuwa waziri pamoja na wenzie wakapitisha mikataba ya kuwapa mabeberu gas yetu aliyokiri hadharani majuzi kuwa "imeporwa na wakubwa"?

Mungu ninayemfahamu kwa heshima aliyonayo kwa viumbe wake hawezi kutukejeli namna hii.
Kidume huyu hapa.
 
Bora umewahi kusema hautaeleweka km ulivyoshindwa kueleweka ten years ago
 
na awaminye hivyovyo
 
Wewe unatakiwa umshukuru Mungu kwa kuzaliwa taahira usiyeweza kutambua kua kuanzia October 2015, Tanzania imekua nchi ya ajabu sana kiasi kwamba ukichaa imekua sifa!
 
Hakika Mheshimiwa anapiga kazi, yapo mengi ambayo hujataja hapa MAMAYOYO
 
Bado ajira ni tatizo, Jk alikuwa anaajili sana, saiz office za umma kuna wafanyakazi wachache na ajira zinazungumzwa kisiasa jambo ambalo ni hatari cos wasomi ni hatari kwa afya.ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…