Hana mpinzani huyu Baba, kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Taifa letu na kwa sisi wananchi kiukweli anastahili miaka mitano tena.
Nitamchagua Magufuli
 
Hana mpinzani huyu Baba, kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Taifa letu na kwa sisi wananchi kiukweli anastahili miaka mitano tena.
Nitamchagua Magufuli
Kumbe hata na wewe unalitambua hilo?
#Tulipotokatunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#AchaKaziIendelee
#hapakazituu

Hakika vijana tukiwa nguvu moja hakika TAIFA hili halitachukuliwa na mabeberu
 
HASWAaaa ila kwakua watu tunataka mpaka tubustiwe ndio tuelewe


ILa kwa miMi kaMa kijana mzalendo na mpenda maendeleo ninasema aliyoyafanya Magufuli ni mengi sana sina budi 28/10/2020 kumpa kura yangu.
 
KWa mambo aliyoyafanya Dr MAGufuli ni mengi na hayawezi elezeka kabisa.



NDIO maana kuna muda hua namfananisha na BABA wa TAIFA hili mwal.Nyerere hawa ni watu wenye maono ya kutosha


KURA YANGU KWA MAHGUFULI
 
Hakuna kitu hapo, tumegawanywa tu sasa hivi hakuna umoja tena, viongozi wetu wanatakiwa kutuunganisha na kututendea inavyofaa, uzalendo umeshuka sana kutokana na yale wananchi wanayofanyiwa, hakuna mtanzania anayependa amani iliyopo itoweke lakini hiki kinachoendelea kwa sasa nchini kuna watu wanaona bora tukose wote. Ombi ni viongozi wasimame Kwenye HAKI waone kama Adui ataingia nchi hii, watu hawako tayari tena kuteseka ili wachache wafaidike. Na hapo ndipo viongozi wanapotudanganyia eti kwamba Wapinzani wanatumika! Acheni kutudanganya
 
KWa mambo aliyoyafanya Dr MAGufuli ni mengi na hayawezi elezeka kabisa.



NDIO maana kuna muda hua namfananisha na BABA wa TAIFA hili mwal.Nyerere hawa ni watu wenye maono ya kutosha


KURA YANGU KWA MAHGUFULI

KWa mambo aliyoyafanya Dr MAGufuli ni mengi na hayawezi elezeka kabisa.



NDIO maana kuna muda hua namfananisha na BABA wa TAIFA hili mwal.Nyerere hawa ni watu wenye maono ya kutosha


KURA YANGU KWA MAHGUFULI



 
DR. JPM: SHUJAA WA DUNIA #MITANO5TENA

TAREHE 28.10.2020.

#Wakati Trump Na Marais Wengine Wakipambana Na Korona Kwa Nguvu Za Binadamu, Dr.JPM Alikua Akipambana Na Korona Kwa Sala, Maombi Na Kufunga,

#Wakati Marais Wengine Wa Afrika Wakichecheka Na Mabepari, MABEBERU Na Wasiopenda Maendeleo, Dr.JPM Amekua Akiwachana Makavu Dhidi Ya Dhuluma Na Uzandiki Wao Kwa Nchi MASIKINI Hasa TANZANIA,

#Wakati DUNIA Ukipambana Na Adui Maradhi, Dr. JPM Amekua Akipambana Na Adui Umasikini Wa Watanzania,

#Dr. JPM Ndiye Aliyeuweza Mfupa Uliowashinda Wengi TANZANIA Na Nje Ya Tanzania. Mfupa Wa "SERIKALI HAINA FEDHA, MADO NI MASIKINI",

#Wakati Trump Anawaza Kuikimbia MAREKANI, Dr. JPM Anapasha Kwa Pushapu Za Kuonesha Umara Wake Kiafya, Anawaza Kurejea Kuendeleza MIRADI MIKUBWA YA KIUCHUMI, NCHINI,

#Wakati Viongozi Wa Vyama Vya Siasa Afrika Vikiendesha Chaguzi Kwa Fedha Za Mikopo Na Misaada, Dr. JPM Amekimbia Aibu Ya Kuwa Ombaomba Kwa MABEBERU, Kwa Kuweza Kujikimu Katika Uchaguzi Mkuu,2020,

#Wakati Nchi Zingine Za Afrika Na Dunia Zikifunga Mipaka Na Kuzuia Raia Wake Wasitoke Nje Kwasababu Ya Ugonjwa Wa Korona, Dr. JPM Amewahamasisha Raia Wake Kuendelea Kuchapa Kazi, Ili Kujiletea Kipato Na Kukuza Pato La Nchi,

#Wakati Marais Wengine Wa Afrika Na Kwingineko Duniani, Wakiogopa Kuirejesha Mikataba Tata Ya RASILIMALI ZA NCHI Mezani Kuijadili ili Kupata HAKI YA RAIA ILIYOPORWA, Dr. JPM Ameweza Kukomaa Na Kampuni Za Kigeni Za Madini Katika Kutafuta Usawa Wa Unufaikaji Wa RAIA Katika Rasilimali Zao NCHINI,
*Nchi Imelipwa Mabulioni Na Kurejesha Heshima Ya RASILIMALI Za TANZANIA Dhidi Ya Mataifa Ya Kibepari Na Kibeberu,

#Wakati Viongozi Wengine Wakiamini Diplomasia Ya Nchi Inaimarishwa Na Rais Kuzurura Nje Ya Mipaka Ya Nchi, Dr. JPM Ametulia TANZANIA Na Diplomasia Ya Nchi Dhidi Ya Mataifa Ya Nje Ya Tanzania Ikizidi Kupaa Kwa Kiasharia Kikuu Cha Pato La Nje Ya Nchi Kupanda,

#Dr. JPM Ametoa Somo Kwa Viongozi Wa Nchi Zote Duniani, Kwamba Mungu Ndiye Kila Kitu Na Sio Lucifer, Kwa Sala Akazimisha Mipango Yote Ya Lucifer Ikiwemo Korona, Dhidi Ya TANZANIA Na Dunia.

#Wakati Viongozi Wengine Duniani, Wakipendelea Dini, Makabila Yao, Na Ukanda Wao, Dr. JPM Amejenga Misikiti, Makanisa, Barabara, Shule, Vituo Vipya Vya Afya, Hospitali, n.k Kwa Makabila Ya Rangi Zote, Dini Zote, Na Maeneo Yote Nchini,

#Wakati Marais Wengine Wakitumia Muda Mrefu Kubadilisha Nchi Zao Kimaendeleo, Kiuchumi Na Kijamii Kwa Dr. JPM Imemchukua Miaka 4 Na Miezi Tu, Kuibalidilisha Nchi From Zero To Heroine...

Nani Kama Magufuli, Shime Watanzania Wazalendo Tujitokeze Kwa Wingi Katika Vituo Vya Kupigia KURA Tukampigie Kura Za NDIYO
Kipenzi Chetu Dr. JPM, Ili AIHAMISHIE UBELGIJI, Inayomzuzua Mgombea Wa Urais Wa Chama Cha MBOWE, Iwe Hapa Nchini, TANZANIA.
BAADA YA KUPIGA KURA TUREJEE NYUMBANI TUSUBIRIE TUME ITUTANGAZIE MATOKEO YA USHINDI WETU WA KISHINDO KWA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI WA CCM, 2020-25.
CCM 2020 HOYEEEEEE...

CCM 2020
 

Magufuli ana mengi Haya wazo kuelezwa yakaenea hapa. Tuseme inatosha Sana kumjazia kura nyingi sana na wagombea wote wa CCM
JPM unatufaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…