mwakirobert1

Senior Member
Sep 21, 2020
139
225
Kama kuna mafanikio mbona kuzuia watu wasitoe dukuduku lao? Mbona kuzuia wakosoaji wake wote wasiseme alikoharibu? Uharibifu ni mwingi sana kuliko mafanikio. Katika kipindi hichi cha Magufuli ndio kipindi deni la Taifa limepaa kuliko nyakati nyingine zote tena wizi na rushwa vimepamba moto, miladi mingi yenye mikataba ya kifisadi imefanyika chini ya Magufuli uku uchumi wa nchi ukisinyaa, uchumi wa mtu mmoja mmoja ukishuka kwa kasi ya ajabu uku haki za kirahia zikiendelea kuporwa.
Kwa uandishi wako tu wa hili neno urahia badala uraia inaonyesha wazi kuwa hata hujui kinachoendelea nchini ila tu unafata upepo kama bendera

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 

Alwatan Mabruki

Senior Member
Sep 20, 2020
112
225
CCM inaamini kwamba uzalendo kwa nchi ndio msingi wa maendeleo ya
kweli ya Tanzania ambayo yataletwa na Watanzania wenyewe
IMG-20200930-WA0180.jpg
 

Bossie mtoto

Member
Jul 6, 2020
85
95
  • Biashara zimekufa na zilizopo hazina matumaini ya kustawi.
  • Hali za maisha ya watu imekuwa hoi.
  • Raia wana hofu ya kutekwa na kuuawa kila mahali.
  • Hali za wakulima ziko hoi kwasabb bei za mazao zimeporomoka.
  • Wafanyakazi hali zao mbaya kwasabb mishahara yao haijawahi kuongezeka tangu Kikwete aondoke madarakani.
  • Vijana wanaomaliza vyuo wamekosa matumaini kwasabb serikali haitoi ajira.
  • Sekta binafsi imekuwa adui wa serikali (inazidi kuminywa).
OKTOBA 28 MCHAGUE JPM KUYAENDELEZA HAYA AMA MKATAE KUYAONDOA.
Umeiona ubungo lakini?
 

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,277
2,000
HAYA NDIYO MLIYOTULIPA KWA MIAKA 60 YA UHURU, KWA KUWAPA DHAMANA YA KUONGOZA...
IMG_20200930_010732.jpg
IMG_20200930_004637.jpg
IMG_20200930_010423.jpg
IMG_20200930_010414.jpg
IMG_20200925_113059.jpg
IMG_20200925_113051.jpg
IMG_20200921_234857.jpg
IMG_20200809_073539.jpg
 

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
331
250
hata nyie mim pia siwaamin.sina chama ila najiuliza mahela yote hayo nayoskiaga mnapewa mnashindwa hata kuwa na ofis
 

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,056
1,250

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga

============
emie emie posted: Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea. Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji. Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika, hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiasara bali si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio. Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Hakika namsifu Rais wetu.

Pia soma;
- Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Rasi Magufuli ndio anaye faa kuliongoza Taifa la Tanzania. Kwa Sababu anafanya kazi kwa vitendo sio Viongozi wengine waliopita walikuwa wakisema majukwaani lakini hafanyi kwa vitendo. kura yangu nitampa Rais Magufuli Oyeee.

DARES-SALAAM.jpg
 

Baba Masagu

Senior Member
Aug 30, 2020
129
225
Niko.Hapa kuisubiri tuu 28/10/2020 maana sio kwa kura za ndio zitakazo jionesha kwa Magufuli.

Hunishindi mimi , siwezi kusubiria hiyo sherehe nono ya CCM.
Huyu kaweka sijui picha za Nchi gani, au na yéyé anakaa ubelgiji sijui.
Sisi watanzania halisi kazi za Magufuli tunazijua, tunazithamini na tu taxi enzi daima .
CCM oyeeee
 

JamaaFlani

Member
Apr 30, 2013
26
45
Hakika ni Mengi Yamefanyika na Hilo Halina Ubishi. JPM Kaifanyia nchi mambo makubwa na anastahili pongezi kubwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom