Mkuu wengi wenu mashabiki wa Liverpool mlikuwa mnamponda Hedo kila mechi. Lakini sasa ivi ndiyo mnaona umuhimu wake kwenye kikosi.
Binafsi nilikuwa nashangaa kwann hampendi huyu jamaa wakati kila akicheza lazima mpate matokeo chanya. Alikuwa anajua jinsi ya kudeal na tempa ya wachezaji wenzake na kuwatuliza pale wanapokuwa ander pressure. Lakini matunda yake wengi mlikuwa hamuoni.
Kuna siku nilimwambia jamaaa angu wa liver kuwa leo Mchawi wenu hachezi mnafungwa na kweli mlifungwa mechi ile.
Mimi nafikiri kwa sasa ni upepo tu ndiyo imegeuka ila liver bado inacheza vizuri. Subirini Hedo arudi uwanjani mnakubaliana na mimi
umesemaje?... kuwa na miaka 10 ndio nini wakati hana uajabu wowote?Have some respect
Liverpool bila ya captain Henderson isingefika hapa ilipo hell
Have some respect and just for the record
Hendo ana miaka 10 sasa kwenye klabu
naunga mkono hoja!......Katika hao wengi wanaoona umuhimu wa Henderson tafadhali sana naomba usinihesabu.
Halafu wacha uongo kusema akicheza Hendo ndiyo tunapata Matokeo! Tumeshachezea vipigo vya kutosha ndani ya msimu huu huyo Hendo akiwa yumo ndani. Hata Man City wametukung'uta 4 ndani ya Anfield huku Hendo akiwa uwanjani anamtingishia Makalio Guandogan.
Musitake kuleta hoja za kiajabuajabu kuwa Hendo angetupatia matokeo kwa Chelsea.
Hivi Pep hahitaji Captain Henderson ili wakamilike awape Uefa 😂😂😂😂😂....Katika hao wengi wanaoona umuhimu wa Henderson tafadhali sana naomba usinihesabu.
Halafu wacha uongo kusema akicheza Hendo ndiyo tunapata Matokeo! Tumeshachezea vipigo vya kutosha ndani ya msimu huu huyo Hendo akiwa yumo ndani. Hata Man City wametukung'uta 4 ndani ya Anfield huku Hendo akiwa uwanjani anamtingishia Makalio Guandogan.
Musitake kuleta hoja za kiajabuajabu kuwa Hendo angetupatia matokeo kwa Chelsea.
We are doomed.Next season
Salah- 30 years old
Mane- 30 years old
Firmino- 31 years old
Van dijk- 31 years old
Henderson- 32 years old
Wijnaldum- 32 years old
Fabinho- 29 years old
Matip- 30 years old
Thiago- 31 years old
Allison - 30 years old
Milner -36 years old
Shaqiri -31years old
Adrian -40 years old
Liverpool's Old age people's home
Arse8 huwa inapenda wachezaji walio juu ya mawe ..Arteta ajaona fursa tu bado?Next season
Salah- 30 years old
Mane- 30 years old
Firmino- 31 years old
Van dijk- 31 years old
Henderson- 32 years old
Wijnaldum- 32 years old
Fabinho- 29 years old
Matip- 30 years old
Thiago- 31 years old
Allison - 30 years old
Milner -36 years old
Shaqiri -31years old
Adrian -40 years old
Liverpool's Old age people's home
Mkuu tulia Klopp huwezi kum rate ameshindwa kwa kukosa big 4 akiwa na hawa wachezaji wa ku ungaunga especially defence.Pamoja na hiyo inayoitwa FSG business model...Pamoja na majeruhi...pamoja na kila kitu,bado Klopp angeweza kufanya kitu kupunguza hii dhahama inayoendekea klabuni.
1.Kwanini hapangi wachezaji kwenye nafasi zao za asili?Unaweka nje mabeki Halafu unapanda viungo wacheze beki!Kwa nini Mr Klopp?
2.Kwanini asibadili huu mfumo wake wa 4 3 3 ambao sasa umeshindwa kwakuwa kila timu(hata Namungo) imeshajua jinsi ya kuuuzuia uonekane ni wa kidemu?
Hivyo vitu ndivyo vinaicost liverpool sasa hivi.Kama vipi atuachie tu timu yetu aisee.
Kwa wachezaji hawahawa waliopo fiti,yes ubingwa ilikuwa ni ngumu lakini hatukuwa tunapaswa kuwa timu ya hovyo kiasi hiki kwamba hata top four tuu tunapigania?Kama Klopp angeacha ubishi hatukupaswa kuwa na hali mbaya kiasi hiki.Bado nasisitiza kama Klopp kachoka kufikiria atuachie timu yetu.Aende zake Mainz huko...Hasira sana aisee!!
Mkuu Mnyakatari zipo taarifa Klopp anapenda kufanya kazi na kikosi cha wastani mno kiasi ukitazama 1st 11 yetu utaona tangu 2017 imetumika sana sana. Aidha hii kupenda kikosi kidogo ni kukosa bajeti kuu kununua ama kulipa mshahara kwa hao wachezaji bora ku supplement benchi letu.Mkuu vitu vyote ulivyosema ni vya muhimu lakini ni kwa vipi vinamfanya Klopp asiwapange mabeki nafasi zao na viungo nafasi zao?Ni kwa vipi vinamfanya Klopp asi switch mifumo mbalimbali kusuit wachezaji waliopo fiti badala ya kukariri 433?
Klopp is better than that aisee.We want our manager to give us his best because we know that he can...
Na Kabak nakumbuka ile mechi ya Chelsea alipata jeraha sina hakika kama atakua amepona.Mkuu Mnyakatari zipo taarifa Klopp anapenda kufanya kazi na kikosi cha wastani mno kiasi ukitazama 1st 11 yetu utaona tangu 2017 imetumika sana sana. Aidha hii kupenda kikosi kidogo ni kukosa bajeti kuu kununua ama kulipa mshahara kwa hao wachezaji bora ku supplement benchi letu.
Ipo hivi hawa akina Ryhs, Philips, Jones, Neco hawakua groomed kujenga kikosi cha kugobambania EPL mbali ni pale Trent nk ameshafanya yake na ushindi upo basi Neco anaingia kupata dakika chache.. Sasa kutokana na hilo tumepata majeruhi mengi tumejikuta tunawategemea wachezaji ambao hawakua plan A ya Klopp.
Hili la 4 3 3 kwa kweli tumeshasema sana inahitaji ipumzike mpaka pale atapata kikosi kamili. Lakini je huko mazoezini pengine kwa wachezaji alionao amejaribu 3 5 2 au 4 4 2 nk na hajaona anakichokitaka hivyo aidha kwa kukosa wachezaji sahihi au kukosa muda wa kutosha au Klopp kutokua na imani na new changes...
Tuna gemu 11 to play and few UCL if we are lucky to progress. So Klopp bado yupo kazini ana nafasi ya kuokoa huu msimu hivyo tuwe na subira tuone pengine kuanzia leo atakuja na jambo lipi maana Fulham wapo motoo sanaaaa.
Mechi ya Chelsea Phillips alikua majeruhi ndio maana Fabinho akacheza beki. Rhys baada ya ile gemu ya FA vs Manchester United alionyesha udhaifu mkubwa sana kuusoma mchezo na position wise hivyo hata leo kama Phillips au Davies hawapo fit asilimia 100 basi tutegemee Fabinho na Kabak. Lakini kwa sasa naona defence sio tatizo mbali wafungaji wetu wapo likizo yaaani they ain't clinical kama tulivyozoea.
Muda utasema.
I stand with Klopp.
Huyo Gerrard atulie huko farmers league.
YNWA
Kikosi hiki sijui najikuta TU sina Aman hasa backline yetu inanipa hofu