The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 3,239
- 7,587
Klopp is a coward manager i have ever seen before.Klopp tangu atue Kops haya ya sasa ni mapya kwake hajawai kua na hali hii kabisa na ndio sasa atuonyeshe ubora wake kwa wachezaji alionao na si kingine.
No excuses kukosa Big 4 yaani haikumbaliki japo dalili ndio hizo ndugu.
Nadhani alikomaa sana na defence na kusahau kule mbele hakuna magoli wala hakuna shoti on target za maana karibia kila gemu.
Gini na Thiago wapo hoiii... Huu ndio ulikua wakati mwafaka Klopp kujaribu new ideas maana hata same old ideas bado tunapigika vile vile yaani why not be bold have 3 5 1 1 akimuacha Salah awe lone strika au hata 4 4 2 nk maana same old same old 4 3 3 bila proper defence imekua ni janga kwetu.
YNWA
Kwa muktadha huu
Same tactics. Same formation. Same players. 3 concecutive seasons. Without reshuffle lazima ufeli.
Fine fsg wamezingua pesa vp mbinu na mifumo na rotation?
Mf. Angejaribu 3-4-3 or 3-5-2 kwa rotation ili TAA Robbo wapumzishwe kina salah Mane wapumzishwe kwa kupewa dk chache,.
Klopp signings zake ni sawa na haziamini kabsaaa fuatilia utajua wanachelewa kuingia kwenye timu. Mf. Minamino kina Tsimikas Devies hawajachezeshwa ili tujue ni mzuri au mbovu. Joe Enrique alihoji kuhusu mtu kama Davies.
Kuwachezesha faby na hendo ni uoga pia ni sawa hatukua na cb's but uwepo wa phillips alipaswa kumpartner na mmoja especially faby ili hendo aende kwenye mid. Jamaa anaacha natural cb bench anapanga mid wote kwenye defence role. Umetumia pair hiyo mechi tano nyumbani umepigwa kwa nini usirisk tu kuwachezesha natural cb hawa mid uwapeleke mid kupush timu?.
Kuna kipindi TAA aliumwa december alicheza Neco Williams dah.! Dogo ali impress sana fresh legs unaona akili mwili vyote vinaushirikiano. Badala yake akampiga neco bench akamrudisha TAA first ambaye anaoneka kuchoka sio yule tena.
Tge gaffer huenda ana mazoezi magumu sana, huwez niambia timu 19 yako ndio iwe na injury nyingi hivi.
Devies na Tsimikas wametoka first eleven regular sio injury prone ila huku wamekuja hata hawakumbukwi tena ni vitandani tu.
Alituambia anapenda kikosi kidgo sasa anacho akitumie, kweli mtu hupewa ukiombacho.
KLOPP HAS TO CHANGE HIS MINDSET ABOUT MANAGERIAL.