Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,573
- 28,544
Yaani hata sielewi huu uwoga wa nini maana kila mbinu aliyokuja nayo Anfield 2021 amefeli maana hatujashinda na hatuna goli from open play pale Anfield zaidi ya ile penati ya Salah dhidi ya Manchester City hakika hio dalili mbaya sana.Klopp na mambo yake ya kukariri ,yeye (Klopp) amekariri kwamba lazima Firmino ampange Tisa na lazima Gini (Ambae hawezi kukaba) ampange 8 au 6
Sasa Klopp should have the balls and try something new sio kutegemea Robbo na Trent ku create as usual wakati sasa wamekamatika vilivyo.
Kuna hawa watoto MFs wa academy na wapo very highly rated Leighton Clarkson na Jack Cain nadhani ni muda awape dakika sasa maana kikosi kipo hoi kinahitaji new players new dimension new tactics huo ndio ukweli.
YNWA