Kwa tathimini yangu wachezaji wafuatao huwa wanatucost.
Salah
Thiago
Trend
Jones.
Salah Ana tatizo hawezi kumiliki mpira vizuri na akipoteza mipira yake huwa inatucost.
Work rate yake kwenye kusaidia timu uwanjani ni ndogo sana, anaweza kubahatisha goli bado nafasi alizotucost ni nyingi_
Thiago anarukaruka tu na kufanya faulo.
Trend ameanzisha tabia ya kutokupiga cross kama zamani, rate ya kupiga cross imedrop, pia sio beki mzuri na upande wake mara nyingi wako na salah magoli mengi hupitia huku kwao.
Jones, sehemu ya kupiga pasi haraka anachelewesha mpaka adonoedonoe mpira kabla ya kutoa pasi, ;mara nyingi pasi zake ni za kurudi nyuma, akipoteza mpira mara nyingi inatucost, si mzuri kwa ukabaji