Mkuu Mnyakatari zipo taarifa Klopp anapenda kufanya kazi na kikosi cha wastani mno kiasi ukitazama 1st 11 yetu utaona tangu 2017 imetumika sana sana. Aidha hii kupenda kikosi kidogo ni kukosa bajeti kuu kununua ama kulipa mshahara kwa hao wachezaji bora ku supplement benchi letu.

Ipo hivi hawa akina Ryhs, Philips, Jones, Neco hawakua groomed kujenga kikosi cha kugobambania EPL mbali ni pale Trent nk ameshafanya yake na ushindi upo basi Neco anaingia kupata dakika chache.. Sasa kutokana na hilo tumepata majeruhi mengi tumejikuta tunawategemea wachezaji ambao hawakua plan A ya Klopp.

Hili la 4 3 3 kwa kweli tumeshasema sana inahitaji ipumzike mpaka pale atapata kikosi kamili. Lakini je huko mazoezini pengine kwa wachezaji alionao amejaribu 3 5 2 au 4 4 2 nk na hajaona anakichokitaka hivyo aidha kwa kukosa wachezaji sahihi au kukosa muda wa kutosha au Klopp kutokua na imani na new changes...

Tuna gemu 11 to play and few UCL if we are lucky to progress. So Klopp bado yupo kazini ana nafasi ya kuokoa huu msimu hivyo tuwe na subira tuone pengine kuanzia leo atakuja na jambo lipi maana Fulham wapo motoo sanaaaa.

Mechi ya Chelsea Phillips alikua majeruhi ndio maana Fabinho akacheza beki. Rhys baada ya ile gemu ya FA vs Manchester United alionyesha udhaifu mkubwa sana kuusoma mchezo na position wise hivyo hata leo kama Phillips au Davies hawapo fit asilimia 100 basi tutegemee Fabinho na Kabak. Lakini kwa sasa naona defence sio tatizo mbali wafungaji wetu wapo likizo yaaani they ain't clinical kama tulivyozoea.

Muda utasema.

I stand with Klopp.

Huyo Gerrard atulie huko farmers league.

YNWA
Eti farmer's league haha
 
At least I can take a consolation on two outcomes this season. That:

1. Stevie G has clinched the SPL title after Rangers' 10-year drought
2. Manure are not going to get their 21st EPL title, so we have a chance to tie them on the 20th next season

Let's kick the shit out of those Yankees and get ourselves an Arab sheikh with bottomless pockets instead, and fast!

FSG out!!
 
Back
Top Bottom