Thiago sio mchezaji mbaya sema leo kakutana na wanaume wa shoka pale Kati kante na jorginho huyo huyo game dhidi ya team Kama Newcastle n.k atashine.THIAGO AĹCANTARA Ni Finished product ni kama tulisajili New Lallana tu.
Thiago sio mchezaji mbaya sema leo kakutana na wanaume wa shoka pale Kati kante na jorginho huyo huyo game dhidi ya team Kama Newcastle n.k atashine.THIAGO AĹCANTARA Ni Finished product ni kama tulisajili New Lallana tu.
Sio Kama Hana mbinu ila leo kakutana na kocha mwenye mbinu zaidi yake ndio maana akachanyikiwaAisee Klopp kaishiwa mbinu kabisa so kwa sub zile.
Kwani Liverpool umeanza kuishabikia 2017?..Ajabu sasa shinda sio tena defence yetu kwa sasa mbali ni namna ya kupenyeza pasi kwa timu pinzani ina maana kiungo na pale mbele pamekufa kabisaaaa...
Leo nyumbani tumepata 1 shot target...
Yaani ni wachezaji sijui wamechoka nini maana walikua na karibia siku 4 kuja na mbinu mpya dhidi rejuvenated Chelsea.
Sub pia leo kachemka Klopp. Kiungo kilikufa badala amtoe Gini yeye kakibiria kumtoa Jones na Salah.
Klopp huu mtihani ni kama mwenyewe ameishiwa mbinu namna ya kujinasua...
Mfs and front is walking dead no real spark whatever lol...
Hivi najiuliza swali Mashabiki wa Chelsea, Manchester United na Arsenal walizoea vipi hii hali ya vipigo especially kipindi cha 2017 mpaka December 2020 maana haya mambo tulishasahau kabisa...
Upo uwezekano mpaka mwisho wa mwezi huu tukawa nafasi ya 10.
YNWA
siku nyingine tumia hesgoal.comMwenye live streaming anitumie hapa niangalie hata kipindi kimoja tu
Utajua mwenyewe una weweseka tu umekamatwa na jin mahaba ngoja likule vyomboHongera sana kwa mbinu madhubuti kabisa yaaani leo umetukamata.
Hongera kwa ushindi Anfield maana kwa miaka 7 EPL nadhani hamjashinda pale.
YNWA
Amkeni amkeni wamefungwa tena, ghafla mtaanza kuwa timu ya historia tena
Naona wapo wamerejea mkuu mwingine bench mwingine anaanza
Hongera sana kwa mbinu madhubuti kabisa yaaani leo umetukamata.
Hongera kwa ushindi Anfield maana kwa miaka 7 EPL nadhani hamjashinda pale.
YNWA
Tangu 2017 mpaka December 2020 ki ukweli tumekula good time EPL especially pale Anfield.Kwani Liverpool umeanza kuishabikia 2017?..
Some disappointment in life can be a blessing in disguise so haya matokeo especially Anfield ni ujumbe tosha kwa hao FSG kubadili hii business model.Let FSG sell our club.
Klopp make alot of £ but they are not cash wish with their poor and unprofitable business model to our club but they earn much for themselves.
Klopp tangu atue Kops haya ya sasa ni mapya kwake hajawai kua na hali hii kabisa na ndio sasa atuonyeshe ubora wake kwa wachezaji alionao na si kingine.Aisee Klopp kaishiwa mbinu kabisa so kwa sub zile.
Klopp tangu atue Kops haya ya sasa ni mapya kwake hajawai kua na hali hii kabisa na ndio sasa atuonyeshe ubora wake kwa wachezaji alionao na si kingine.
No excuses kukosa Big 4 yaani haikumbaliki japo dalili ndio hizo ndugu.
Nadhani alikomaa sana na defence na kusahau kule mbele hakuna magoli wala hakuna shoti on target za maana karibia kila gemu.
Gini na Thiago wapo hoiii... Huu ndio ulikua wakati mwafaka Klopp kujaribu new ideas maana hata same old ideas bado tunapigika vile vile yaani why not be bold have 3 5 1 1 akimuacha Salah awe lone strika au hata 4 4 2 nk maana same old same old 4 3 3 bila proper defence imekua ni janga kwetu.
YNWA
Mkuu ila hongereni maana nyie msimu huu sio tiGo kwmba kila yeyote anajipigia ila pia nikupe pole kwamba msimu huu hata nafasi ya pili namuona Chelsea ndio akishika nafasi ya pili sababu Chelsea kusema ukweli ndie anacheza vizuri katika Big Six woteLiverpool's ThiagoView attachment 1717680View attachment 1717681