Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kubishana na timu kama Liverpool ni matumizi mabaya ya akil ,mid table timu ...

Level zangu ni buyern huko ..

Timu hata top four haiwezi kumaliza ,..
Timu yako ina vikombe vingapi jumla mpaka ujilinganishe na Bayern?
 
Kiungo kimekufa

Thiago what's wrong with u maan????!!!!!
As usual Mkuu yale yale ya siku zote... Zuia Trent na Robbo na Liverpool inakua toothless lion ndio hili la leo...

Chelsea wamekuja na watano pale kati usitegemee kumuona Thiago clicking.

Allison poor goal keeping pale instinct zake zimemwangusha...

We are all but finished whatever the outcome...

Swali ni je will our super players remain with us to play in Europa if we are lucky to be even in that spot...

Financial wise we are losing lots of cash by not qualifying UCL. That why getting top 4 spot is of the ultimate goal now.

YNWA
 
Timu hata Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE haijawahi kucheza unajifananisha na Bayern kweli wewe ni Mzima kichwani Acha punyeto Mkuu inakupeleka pabaya.
Umepanic mzee!!!
Jamaa anamaanisha kwa kiwango cha Man City msimu huu level zake ni Bayern Munich!
Liverpool inastruggle kuingia top four, utaiweka vipi kwenye hali moja na Man City?
Ukiondoa hasira zako binafsi, sidhani kama jamaa hayupo sahihi.
Kwa msimu huu shabiki wa Man City kubishana na shabiki wa Liverpool ni matumizi mabaya ya akili.
 
Hesabu za Klopp hua zinamwangusha mno.

Last match Kabak na Phillips walicheza vizuri considering hali ya sasa, nilitegemea leo Fabinho arejee DM na sio tena beki.

YNWA
 
Aston villa ana Champions 1 Manchester city anazo ngapi........Kama Pep ni Mwanaume kweli Akaipe Manchester city UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwanza tuone jeuri yake.
Hoja ya kitoto sana kuhusu ubora wa Pep. Kwahiyo ubora wa Pep ili uonekane ni mpaka aipe Man City UEFA?
Ni mwendawazimu tu anaweza kumuona Pep ni kocha wa kawaida.
 
Kujiamini kwa Jones nako kunaangusha timu.
Ana tabia akishika mpira hatoi pasi haraka, na mipira anayopoteza yeye na salah huwa inatuletea madhara
 
Tulishaambiwa juu ya klop 1anajenga 2anachukua kikombe then 3anaboronga

Hapo jiongeze tupo hatua ya 12au3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom