Viongozi goigoi
Member
- Dec 28, 2016
- 50
- 52
Kwanini.
Ha ha ha ha sasa hii ndio iwe sababu mzee, ina maana hawaji kubeba mpaka mwisho wa Dunia??Kwanini.
1990,1991, 1992,1993,1994,1995,1996,1997,1998,1999,2000,2001,2002,2003,2004,2005,2006,2007,2008,2009,2010,2011,2012,2013,2014,2015,2016,2017,2018 hawakuchukua?
Kwanini hiyo miaka yote hakubeba aje kubeba mwaka huu?Ha ha ha ha sasa hii ndio iwe sababu mzee, ina maana hawaji kubeba mpaka mwisho wa Dunia??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaah...Kwanini hiyo miaka yote hakubeba aje kubeba mwaka huu?
Miaka ambayo utawala wa Liverpool unakomeshwa paliibuka na utawala mpya kutoka jiji la Manchester, Manchester United ya Ferguson worked hard for about 6 years mpaka kuondoa huu utawala, kutoka Ferguson aanze kubeba mataji ya EPL hakupata mpinzani hasa financially, huyu mzee alikuwa na economic power kubwa sana, utawala ulioiuzuia Liverpool miaka yote umetowekaKwanini hiyo miaka yote hakubeba aje kubeba mwaka huu?
Sio kwamba atachukua ila yupo kwenye position nzuri ya kubeba ubingwa, kikosi imara, kocha mzuri na wapo vizuri kiuchumiAhahaaah...
Ungesema kuwa Liverpool atabeba kombe mwaka angekubali bila kukuuliza sababu,kwasababu yeye anaamini hivyo...
Ila umesema kuwa Liverpool hawezi kuchukua ubingwa mwaka huu,anahitaji kujua kwanini umesema hivyo,kwasababu yeye anaamini kuwa msimu huu Liverpool atabeba kombe..!
Binadamu anafurahisha sana,anachokiamini yeye anataka kiwe fact,ambacho unakiamini wewe kwake ni porojo..!
Yeah...Sio kwamba atachukua ila yupo kwenye position nzuri ya kubeba ubingwa, kikosi imara, kocha mzuri na wapo vizuri kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukisoma vizuri utagundua sijawapa ubingwa bali nimewapa nafasi kubwa..hakuna sehemu niliyowapa ubingwaYeah...
Yupo kwenye position nzuri,ila bado mapema sana kusema moja kwa moja kuwa atachukua..!
Lakini haya ni maoni yangu binafsi..!!!
Man city Ndo wana world class hao Liverpool wakikosekana baadhi ya wachezaji tu tatizoNi swali ambalo watu wengi wamekuwa wakijiuliza, swali hili limepata uzito siku za hivi karibuni kutokana na sababu kuu mbili
1. Historia ya Liverpool kutobeba ubingwa kwa miaka 29,mara ya mwisho majogoo walibeba taji la ligi kuu mwaka 1990,wamejaribu mara kadhaa kupambana kwa ajili ya taji hilo ila wameishia kumaliza nafasi ya pili,miaka ya hivi karibuni Rafael Benitez(2008/2009) alichuana vikali na Manchester United ya babu lakini aliambulia patupu, kipindi hiki alikuwa na watu bora sana kama Fernando Torres, Javier Mascherano,Steven George Gerrad, Dirk Kuyt, ulikuwa msimu mzuri sana kwa Liverpool licha ya kuukosa ubingwa,kilichowagharimu kipindi hili ilikuwa ni kukosa squad imara, hawakuwa na bench players wengi ambao wanaweza kuingia na kuamua matokeo
2013/2014 Liverpool walikuwa kwenye kiwango bora sana baada ya kupitia kipindi kigumu in between chini ya mkufunzi Brendan Rodgers, team imara ilitengenezwa kumzunguka Luis Suarez, ilisifika kwa kufunga magoli mengi sana lakini ukuta wake wa biscuit ambao uliruhusu magoli mengi uliwagharimu... unaikumbuka Gerrad famous slip??
Kwa sababu hiyo mashabiki wengi wa Liverpool bado hawana imani thabiti kwamba team yao itatwaa tena ubingwa wa EPL licha ya kuwa juu kwa tofauti ya alama 4 dhidi ya Manchester City
2. Uzoefu kwenye mbio za ubingwa, ni rahisi kuwa na team nzuri ila sio rahisi kubeba ubingwa wa ligi kuu pale Uingereza, kwenye hatua za mwanzo hasa round ya kwanza unaweza kucheza mpira bila kuwa na presha yoyote na ukashinda mechi nyingi, lakini inapoingia round ya pili na upo kileleni unapatwa na presha kubwa ambayo inahitaji uzoefu flani ili kutoathirika na hicho kinakosekana kwa Liverpool, kwa hiyo mashabiki wa mpira wanaamini at some stage presha itawazidia Liverpool na watajikuta wanapoteza pointi na kumruhusu Manchester City kuutwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo
KWA MAONI YANGU BINAFSI, LIVERPOOL WANA NAFASI KUBWA YA KUTWAA UBINGWA MSIMU HUU, KWA SABABU HIZO HAPO CHINI
1. Team imara yenye wachezaji wengi wa kiwango cha Dunia (world class players),ndio Liverpool kwa sasa imetengenzwa na wachezaji wengi wazuri ambao wametengeneza muunganiko mzuri baina yao..kwenye nafasi ya ulinzi wana Allison, VVD na Robertson, hawa watatu ni nguzo imara kwenye safu ya ulinzi ambayo imeruhusu magoli machache zaidi kwenye ligi kuu nchini Uingereza (not more than 11 goals),Title is won by defense..wana watu wazuri katika ambao bado hawajaonyesha umahiri na kutambulika sana ila kazi yao ni maridhawa..kwenye safu ya ushambuliaji ni sehemu nyingine ambayo Liverpool wanajivunia..eneo hili wana Mohamed Salah, Firmino na Mane ambao wamecheza kwa pamoja kwa misimu miwili,hawa pamoja na Xherdan Shaqiri ndio msingi wa magoli ya Liverpool..utofauti wa hii team ya sasa na ya 2013/2014 ni ubora kwenye defense na hii ndio itakuwa sababu kubwa ya Liverpool kutwaa ubingwa
2. Wamebaki na michuano miwili, Liverpool wametolewa katika michuano ya EFL na FA cup, wamebaki na michuano miwili tu ambayo ni UCL na EPL, hii ni advantage kwao kwa sababu inawapa mda wa kutosha wa kufanya recovery after game na kufanya good preparation for the next game,kwa hiyo wanaingia kwenye game nyingine wakiwa na fresh legs contrary na mpinzani wao kwenye mbio za ubingwa ambaye yupo kwenye all four fronts, hii itampa City hasara over Liverpool
3. Jurgen Klopp, sifa moja kubwa ambayo inamfanya Klopp kuwa tofauti na makocha wengine ni kwamba hakupi mafanikio instantly, anachokifanya ni kutengeneza team nzuri na imara alafu hii team ndio iwape mafanikio, wakati anaichukua Liverpool huyu bwana alisema tumpe misimu minne ndio tuanze kuuliza makombe anayoipa Liverpool, wapo tupo kimya na mda wa kumtia kitanzi kwa kudai yale makombe umewadia..ila wakati anatoa kauli hii, niliamua kumsoma huyu jamaa na kupata historia yake vizuri wakati yupo Mainz na Borussia Dortmund, I was impressed,huyu aliipandisha Mainz daraja, huyu aliichukua Dortmund iliyochoka ambayo wakati anaichukua 2008 walikuwa nafasi ya 13 kama sio 14 alafu baadae akaja kubeba ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga back to back, huyu jamaa ndio silaha kubwa sana katika mbio za ubingwa...baada ya kutengeneza team imara sasa ndio wakati wake wa kutamba na kubeba makombe akianza na hili la ligi kuu, uzoefu wake kutoka kule Dortmund ndio silaha ya kuondoa presha kutoka kwa wachezaji wa Liverpool
4. Champions instincts, nikuibie siri tu, kila bwana anapata pointi nyingi kwa kushinda mechi nyingi ila kuna baadhi ya pointi zinapatikana kibahati sana, yes you need some lucky to gain title winning points, unakumbuka vs Everton wakati watu tushainuka kwenye viti tukiamini mechi imeisha??mimi nilikuwa nje ya ukumbi wa kuangalizia mpira, nilisikia shangwe za mashabiki humo ndani, kurudi nikakutana na habari ya Divok Origi, mpira ulikuwa unakwenda nje, Pickford anaurudisha ndani na Origi anakutana nao...siku hii Klopp alivamia uwanjani, hizi ndio points ambazo zinakupa ubingwa...vipi juzi na Crystal Palace golikipa Speroni anampa Salah goli?? BINGWA ANAHITAJI BAHATI KUPATA POINTI ZA KUMPA UBINGWA
#Steph
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ila nafikiri hawa jamaa kuwepo kwenye mashindano yote manne kutawagharimu..pia overall performance ya City msimu huu sio nzuri sana kama last seasonMan city Ndo wana world class hao Liverpool wakikosekana baadhi ya wachezaji tu tatizo
Liverpool ililamiwa kwa hilo, ilikuwa inakaza big games huku ikiangusha points katika midtable, huoni kama hilo limekuwa somehow resolved msimu huu??Moto wa mabua tuu huo, raundi ya lala salama atafungwa adi na akina ‘mbao fc’
Hawana ‘kifua’ cha kukaza na kushinda msimu mzima, kawaida yao mwishoni huwa wanatepetaLiverpool ililamiwa kwa hilo, ilikuwa inakaza big games huku ikiangusha points katika midtable, huoni kama hilo limekuwa somehow resolved msimu huu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa our number 6 Kani-block IG lol
Yaah social media zinachanganya sana nahisi watu wameanza kuzitumia kuwatoa wachezaji wetu kwenye reli, majuzi walimzushia maneno Mane hadi nikashangaa Mane kaanza kuongea upuuzi hivi
First half of the season they managed it,na wengi tunasubiri kuona namna gani wataweza kumaliza msimu...ila nafikiri advantage kubwa itakuwa na congestion ya fixtures ambazo wanazo Manchester CityHawana ‘kifua’ cha kukaza na kushinda msimu mzima, kawaida yao mwishoni huwa wanatepeta