Next 5 games lfc

Brighton A
Crystal H
Leicester H
Westham A
Bournemouth H


Next 5 games man city

Wolves H
Huddersfield A
Newcastle A
Arsenal H
Chelsea A


Kama tukizichanga karata zetu vizuri bila tatizo tunaweka gape zuri kabisa lingine

City kuna 3 games anapoteza hapo clearly
Unaweza kutaja hizo game 3 ambazo Man City anapoteza clearly..!?
Nataka nibet,ukinitajia hizo mechi nitashukuru sana..!
 
Naona leo kila ninapopita wanamuandama Mo Salah kuhusu ile incident ya ku dive vs Palace.

Kila media wamemwandika yani mpaka kero. Nahisi wanataka kumdistract hawa jamaa sio watu wazuri.


Baada ya kelele zao za "one season wonder" kunyamazishwa sasa wamegeukia suala la ajabu kabisa ambalo mchezaji wao Harry Kane alikua ana dive bila hata kuguswa ana claim penalty na kupewa.

Salah pamoja na kuto claim penalty lakini wanamsakama hatari. I hope he keeps his head focused. Aachane na shombo za wenye wivu.
Uyo Salah Siku hizi bila penalty hafungi kabisa magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unafahamu vyema Majogoo sio timu ya kubabaishwa na City, hawa leo tunao...

Pep presha juu maana kila akitazama weak link ya Liverpool haioni hivyo itamlazimu ashambulie zaidi kipindi cha kwanza na hapo ndio pace ya Mane na Salah itawaumbua maana wao wanawaza kupunguza gepu angalau ibaki pointi 4, hivyo wao watakua ni ushindi tu maana hata kupaki toi Pep hajui yeye ni kushambulia , upande wa pili sisi ni kaunta tu wala hatuna kingine...

wapiga ramli msikae mbali kushuhudia gepu ya pointi 10 mapema Januari...

YNWA
January inakaribia kuisha Chief..!
 
Hazard wenu kafunga magoli ma tatu ya penalty na salah nae kafunga matatu ya penalty. Lkn hazard ana jumla ya magoli 10 na salah magoli 16.
Kwaiyo ukichukua magoli 16 ya salah ukatoa 3 ya penalty unapata 13. Ambayo bado ni mengi kuliko magoli yote ya hazard 7 + penalties 3
Uyo Salah Siku hizi bila penalty hafungi kabisa magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From 9 to 7
Screenshot_20190124-112447.jpeg
IMG_20190124_112925.jpeg
IMG_20190124_112842.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohammed Salah atawaumiza sana vichwa nyie wapiga ramli, mwanzoni mlisema yeye ni one season wonder, akawajibu kwa mvua ya magoli.
Saizi mmeanzisha kihoja cha kujirusha/dive, endeleeni na vihoja vyenu mkijakushtuka May imeshafika anabeba tuzo ya ufungaji bora, VVD uchezaji bora huku Liverpool ikinyanyua kwapa!
 
Back
Top Bottom