nyegere86
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 2,214
- 3,899
Duuuh sasa jamani Gomez na matip wote majeruhi mlitaka acheze nani kama siyo lovren
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh sasa jamani Gomez na matip wote majeruhi mlitaka acheze nani kama siyo lovren
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakujibu. Kukubali ukweli sio jukumu langu.Golikipa alipoteza umakini baada ya kuchezewa rafu.
Every body knows.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapendekeza acheze nani? Naona mnalalamika bila kutoa suluhisho mbadala.Sure ilikuwa ni must winn game, haikuwa sehemu ya majarbio. Klopp ni mbishi sana, tulilia sana worldwide kusu hyo mido yake Gini Hendo Milner.
Anasubir had tutoke kapa msimu huu ndo aelewe. Kama kile ndio kikosi chake cha mauaj it means, hatutaweza kushinda dhidi ya Bayern labda afanye mabadiliko
Tucheze 9 ndani badala ya 10.
hiyo ndio maana ya slogani yenu lakini baadae mnafanya maamuzi.... kumkejeli mchezaji huwa kunavunja moyo na wengine.ulitegemea VVD ammind lovren hyo kitu haiwez fanyika maana liverpool ni moja ya timu inayotunza heshima dressingroom ktk kiwango cha juu so
Usitegemee kumuona klopp au mtu yyt ambae yuko melwood ktk jopo la timu yetu atamsema mchezaji kwa ubaya hilo sahau
Refer karius pamoja nakufanya mautumbo yote hayo hajawah kumtaja vibaya ktk media zaid alikuwa anamsifia so unataka uniaminishe hata kariu alikuwa ni bora ktk squad yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuhakikishia hii vita dhidi ya Lovren na Henderson katu haitoisha mpaka Klopp atakapojua kuwa hawa ndiyo waliotufikisha hapa tulipo kuwa mpaka tumesahau namna makombe yanavyobebwa.
Nitaendeleza vita no matter what they say against us kama hatujui kitu au tunachuki potelea pote.
Tunataka wachezaji wanaoweza kutuletea Makombe Anfield.
This is an endless war
#YNWA
Mfano??????hiyo ndio maana ya slogani yenu lakini baadae mnafanya maamuzi.... kumkejeli mchezaji huwa kunavunja moyo na wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu humu wanatakiwa wapitie kwenye page ya liverpoolecho watapata faida kubwa sio kubisha kila tunalosema kuhusu hizi mido zetu za hendo,gin,milnerNimejikuta nakuwa mpenzi wa Comments Section kwenye Echo maana Klopp anachanwa vya kutosha kuhusu hiyo misukule yake, yaani toka alivyotangaza kikosi.
Kina Ian Doyle wenyewe somo limewaingia, naona wanaona hata aibu kutetea tena.
Ila comments zinachekesha aisee.
Seconded!My thoughts on our team's (LFC's) chances & priorities this season:
There's justified pressure from the football fraternity that come what may, LFC under Klopp must lift at least one of the major trophies this season.
EPL, UCL, FA Cup & League Cup were all on offer at the beginning of the season. We're already out of the League Cup, now chasing the remainder. My question is.... has Klopp & co lined up any priorities to land at least one of these?
As far as EPL is concerned, we're hovering over the top of the league 4 points clear off the chasing pack. So there seems to be some hope there and with the way our team is currently playing (bar injuries, etc) we may have a chance. However, we all know it's not going to be a smooth ride between now and May. So I rate our chance of being England champs at 50%.
UCL is a hard nut to crack on one hand but it could be the easiest on the other. This is because it hinges on very small margins.... including luck. I think we're currently stronger than B. Munich and with the way Klopp sets the team up to play in this competition we'll overcome this hurdle with ease. Who we face after that, squad fitness situation, fixture congestion, refereeing decisions, a ball failing to cross the line by 1 cm (refer our recent match vs Man City), etc - these are the small details that'll likely determine our fate in this competition. I also rate ourselves at 50% to lift this trophy.
Finally (not least in its importance though) is the FA Cup. For me this is a MUST win competition regardless of what happens to the others. There's already a LFC fear factor amongst all the English teams, so we should capitalise on this situation by sweeping everyone we face aside with ease.
On Monday we're playing away vs Wolverhampton in the 3rd round of the FA Cup. We must overcome this hurdle first and foremost and am confident we will. I don't even have to rate our chances in this competition because WE SIMPLY HAVE TO WIN IT!
Above is my personal opinion. My thoughts could as well be misplaced but I think every genuine LFC supporter should feel obliged to think in these lines... that no "priorities list" is likely to find us end up empty-handed once again at the end of the season.... and boy that'll be extremely painful!
Comb ya kiungo wakati Pep anapigwa ilikuwa hiyo ya Hendo, Gini na Milner?Last season Pep kapigwa 3 times na Moja ilikuwa kuvunja mwiko wa unbeaten.
Msiwe wasahaulifu.pitieni rekodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una influence gani liver? Labda tuanzia hapa, klopp anajua kama kuna nchi inaitwa tanzania?
Mkuu nakuhakikishia hii vita dhidi ya Lovren na Henderson katu haitoisha mpaka Klopp atakapojua kuwa hawa ndiyo waliotufikisha hapa tulipo kuwa mpaka tumesahau namna makombe yanavyobebwa.
Nitaendeleza vita no matter what they say against us kama hatujui kitu au tunachuki potelea pote.
Tunataka wachezaji wanaoweza kutuletea Makombe Anfield.
This is an endless war
#YNWA
Mkuu nakuhakikishia hii vita dhidi ya Lovren na Henderson katu haitoisha mpaka Klopp atakapojua kuwa hawa ndiyo waliotufikisha hapa tulipo kuwa mpaka tumesahau namna makombe yanavyobebwa.
Nitaendeleza vita no matter what they say against us kama hatujui kitu au tunachuki potelea pote.
Tunataka wachezaji wanaoweza kutuletea Makombe Anfield.
This is an endless war
#YNWA
Ina maana mtu anapotoa mawazo yake hapa mpaka awe na influence??? Wacha ujinga jadili hoja zake na sio yeye.Mkuu una influence gani liver? Labda tuanzia hapa, klopp anajua kama kuna nchi inaitwa tanzania?
Za asubuhi.Mkuu una influence gani liver? Labda tuanzia hapa, klopp anajua kama kuna nchi inaitwa tanzania?
Comb ya kiungo wakati Pep anapigwa ilikuwa hiyo ya Hendo, Gini na Milner?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah kuona Captain asiye jua mpira. Uzuri wazungu wenyewe wamempachika jina la "CAPTAIN BACKPASS"
Tukitaka tubebe makombe EPL,FA, UEFA hebu huu uchafu wa Henderson uondolewe haraka iwezekanavyo alaf uCaptain apewe haraka VVD.
Mzee wetu Milner tunampenda na kumheshimu sana kwa mchango wake Liver, lakin huu ni wakat wa kustaafu na kula penshen kwa kikokotoo kipya cha magu.
Hebu aachie vijana nao waoneshe uwezo wao.
Lovren hili ni jipu sugu, Tafadhal Klopp hebu muuze huyu bure huko Fulham, liverpool ni Team kubwa sana Dunian, kutunza mtu type ya Lovren ni suicide mission.
TAA na wewe tunazidi kukuscan tu, soon tutakuunganisha kwenye kundi la wakina Henderson.
Kule subs, Huu uchafu wa the so called Moreno, Lallana unatakiwa uflashiwe haraka iwezekanavyo, mara 10 hata Sturrg na Origi walioweza kuleta impact ya magoli katika mechi muhimu hata hivyo nao hakuna namna mmoja wao kama sio wote inabid utumbuaji ufanyike haraka hata kwa mkopo.
Tunataka Tuwe na kikosi ambacho kila mchezaj ana impact. Jaman Liverpool hii sio ile ya miaka iliyopita, midtable oriented, hii ni liverpool mpya ambayo ndio team pekee kutoka England iliyo threat kwa vilabu vikubwa kama Juve, Barca, Madrid.
NoteThat: Liverpool sio Sunderland, Lovren, Hendo, lallana na wenzako tunaomba mlielewe hili suala.
SijuiComb ya kiungo wakati Pep anapigwa ilikuwa hiyo ya Hendo, Gini na Milner?
Sent using Jamii Forums mobile app