AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Mkuu ishu kwa midfield ya Hendo, Gini,Milly imeshindwa kusaka pointi 3 muhimu maana ukweli ni kwamba tulizihitaji SANA pointi 3 kwa City ili angalau tukae kileleni na bonous ya pointi 10...hivyo ile gemu ilitakiwa wacheza kama ndio ya kufunga msimu sasa matokeo yake tukawa tunaomba mpira uiishe maana hali ingeku mbaya zaidi...
Mnakumbuka fainali ya UCL vs Ac Milan au FA fainali vs Westham...wachezaj walikua wanajituma jihad maana wanajua hizi nafasi hazij kila siku, hivyo hii midfield kwa kweli Klopp aipumzishe jama
Sure ilikuwa ni must winn game, haikuwa sehemu ya majarbio. Klopp ni mbishi sana, tulilia sana worldwide kusu hyo mido yake Gini Hendo Milner.
Anasubir had tutoke kapa msimu huu ndo aelewe. Kama kile ndio kikosi chake cha mauaj it means, hatutaweza kushinda dhidi ya Bayern labda afanye mabadiliko