Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pata taarifa za Liverpool kwa kujiunga na ECHO MAGAZINE. just give them your email and you will receive every day updates. Note: language used is English.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lalana is moving out replaced by Ki-Jana Hoover a Dutch from Melwood.Just a 16 teenage.
It seems as Jorgen influenced by Dutches to include VVD and Gin.
The dutches are so massive in terms of endures,and body fitness.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pata taarifa za Liverpool kwa kujiunga na ECHO MAGAZINE. just give them your email and you will receive every day updates. Note: language used is English.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sisi ni member wa Liveepool Echo kitambo mbona na wala hatusubiri mail kupata habari Bali tunazifuata Kwenye Website yao Moja kwa Moja.
 
Lalana is moving out replaced by Ki-Jana Hoover a Dutch from Melwood.Just a 16 teenage.
It seems as Jorgen influenced by Dutches to include VVD and Gin.
The dutches are so massive in terms of endures,and body fitness.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi ndiyo habari ninazopenda kuzisikia.

Kila nikisikia hawa Failures wanaondoka basi Ninajisikia amani kabisa.

Waondoke kupisha nafasi kwa kizazi kipya
 
Nimejikuta nakuwa mpenzi wa Comments Section kwenye Echo maana Klopp anachanwa vya kutosha kuhusu hiyo misukule yake, yaani toka alivyotangaza kikosi.

Kina Ian Doyle wenyewe somo limewaingia, naona wanaona hata aibu kutetea tena.

Ila comments zinachekesha aisee.

Yani Mimi Tokea Juzi Ninaenjoy tu kusoma Comments za Makatonta wanavyowachana Hendo na Lovren
 
Lovren, Hendo pamoja na TAA

Mkuu vita vipo vya aina nyingi!

Mimi ninaendesha Gorilla War

Wewe unaweza chukua Jet ukaendesha vita kutokea angani..

Au unaweza kuchukua Carrier ukaendesha Vita kutokea Baharini.
 
Sure ilikuwa ni must winn game, haikuwa sehemu ya majarbio. Klopp ni mbishi sana, tulilia sana worldwide kusu hyo mido yake Gini Hendo Milner.

Anasubir had tutoke kapa msimu huu ndo aelewe. Kama kile ndio kikosi chake cha mauaj it means, hatutaweza kushinda dhidi ya Bayern labda afanye mabadiliko
Kwa ubishi wa Klopp yeye anazungumzia Kompany kutopewa kadi nyekundu ile tackle ya Salah, na pia front three kutotumia zile nafasi chache za kufunga walizokosa...

Ukweli ni kwamba hili kombe miaka 29 halijatua kwetu hivyo we were supposed to be more hungry, more aggresive, more clinical,utmost concentration kila idara maana kwa mara ya kwanza tulikua kwenye nafasi ya kujiongezea pointi 3 muhimu na kuweka gepu ya pointi 10 dhidi ya City...

Kwa sasa Midfield napendekeza Fabi, Gini, Keita aidha Vs Bavarians or any other team otherwise itakula kwetu tena msimu huu
 
Liverpool HALISI tupo sawa sana!
Lovren ni beki wetu na tuna m support,Hendo ndiyo Captain wetu na tupo nyuma yake!
Watu wapo Kimbiji huko wanataka kutuonyesha kama wao wanajua soka menejimenti kuliko Klopp.
Upuuzi mtupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye ukweli lazima ukweli usemwe hata ukiwa mchungu kuweka mids ya Hendo,Gin,Milner ni kujitafutia majanga yasiyo na umuhimu
Man u fans walilia sana kuwekwa benchi kwa pobga kwa hiyo mashabiki wa man u walikuwa wanalilia kitu ambacho hawajui
Lakini kuja kwa OGS kumwanzisha Pobga na Mata kinachotokea kila mtu anajua
Kwa hiyo mashabiki wa liver wanaposema kuwa mid ya hendo,gin,milner ni dhaifu kuna ukweli kuhuso hilo tukubali tukatae kwa sababu mpira unachezwa hadharani sio chumbani na tumeshinda mechi nyingi msimu huu kwa formation ya 4231 sioni kwa nini tung'ang'anie 433
Nawatakia jumamosi njema YNWA
suala la pogba na kina hendo halifanani mkuu, suala la poba lilibase mno katka mifarakano kati ya mchezaji na kocha wakati suala la hendo na klopp ni suala la game plan hakuna migogoro pale liver ni mikakati ya mwalimu tu anapoona game hii inamfaa huyu na huyu haimfai kwani huyo fabinho kaanza game ngapi na huyo hendo alikuwa anakaa bench.........
 
Washabik wote wa Mpira mpk wa mpira wa pete wapo kwenye uzi wa LFC kwel kizur cha jiuza kibaya cha jitembeza

Njoon tu maana kama mnapigwa 5,3 ,8,6, sasa unafikir mtajadil nini huko kwenu kama sio vipigo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
kama inauma chomoa,na ukichomoa lazma itoke na damu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom