Mshabiki wa
Manure ananiquote kila Post yangu eti anatetea Maslahi ya Wachezaji wa Liverpool..
As we Know hakujawahi kutokea Mshabiki wa
Manure hata mmoja Kupenda au kutetea Maslahi ya Mchezaji, Mji, Timu au Mpenzi wa Liverpool.
Leohii eti ananikosoa mimi!!!!
Washabiki sote Wa Liverpool tulikuwa tunaunga Mkono ugomvi wa Mourinho na Pogba & Martial uendelee Coz tulikuwa tunafaidika na Ugomvi hule kwa Man United kutofanya Vizuri.
Sasa na ukiona Mshabiki wa
Manure nayeye anaunga Mkono na Kutetea Jambo lolote linalohusu Liverpool basi ujue jambo hilo halinamaslahi kwetu Bali ni yeye ndiye atakayefaidika na Jambo hill.
That is Why ndiyo anatetea Mido ya
GINI-HENDO-MILNER ili tukikutana nao Klopp awapangie Mido hiyo dhidi ya
MATIC-HERERRA-POGBA.
Hapo itakuwa Fresh tu kwani Naamini
POGBA hatofurukuta mbele ya
HENDERSON. Sikuhiyo
POGBA mpira utamshinda tu kwani uwezo wake ni mdogo sana mbele ya Henderson.
MATIC - HERRERA - POGBA
vs
GINI - HENDO - MILNER
Lazima kwa Mido zetu hizo bora unazozisifia basi mpira kina Pogba watautafuta Kwa Tochi ndani ya OT.
You are Ignored bro!