From 1992 mpaka sasahivi hii Ndiyo Liverpool bora Zaidi Kuwahi Kutokea iwapo tu Itabeba Kombe la EPL.

Kwani Mimi Naupima ubora Wa timu na Ubora Wa Kocha Kwa Makombe na si Vyenginevyo

Kwasasa Liverpool ya miaka ya 1970s mpaka 1991 itabakia kuwa Ni Liverpool bora zaidi kuwahi kutokea Dunia hii koz ina Makombe 18 ya Ligi na CL 4.

Itakuwa Ni ajabu kusema Liverpool hii yenye Zero Trophy kuwa Ni bora kisa tu imecheza Michezo 20 bila ya Kufungwa.

Na nitakuwa Ni Mtu Wa Ajabu Kusema Kuwa Klopp Ni Kocha Bora Wa Liverpool kuliko BENITEZ..

Hapo nitakuwa namvunjia Heshima Benitez Kwasababu Benitez Katupatia CL ambayo Ni kipimo cha Mafanikio.

Klopp Siku akitupa CL au EPL ndiyo nitakuja Hapa Kutamka Kuwa "KLOPP IS WORLD CLASS COACH".

Mimi Naheshimu sana Makocha Wenye Makombe Kwenye Timu zao.

CONCLUSION: LIVERPOOL HII NI YA KAWAIDA TU KWASASA MPAKA PALE ITAKAPOTULETEA KOMBE.

MY TAKE: MKUU MPIRA NI MAKOMBE TU NA SI JENGINE! AU UNABISHA?
Hahahaha nashukuru kwa kulitambua hilo so mheshimu unai then tukutane may

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DullyJr , Ollachuga Oc na Mwenyeji wenu ambaye ni Mshabiki wa Liverpool ipogolo

Mtaongea Mengi Mwaka Huu!

Sasa Mumeacha Kuzungumzia Mpira Munafanya Mashambulizi kwa Washabiki Wa Liverpool.

Mimi Na Wataka Makombe Wenzangu Hatujutii tuliyoyafanya tokea Msimu Wa Mwanzo Wa Klopp! Mambo tuliyoyafanya ni:

1) Tulimkataa BENTEKE tukashambuliwa na kuitwa Wasiliti, lakini hatimae Klopp kamuondoshwa.. Kwahiyo Klopp kaungana na sisi kwenye usaliti Wa Timu.

2) Tuliwakataa Sakho, Moreno, Klavan na Lovren kuwa si Mabeki ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Hatimae Klopp Kawaondosha Sakho na Klavan, Na Moreno na Lovren kawaeka pembeni! Lovren sasahivi anacheza kwasababu wenyewe GOMEN na MATIP ni injury.
Kwahiyo hapa pia Klopp Kaungana na sisi katika usaliti.

3) Tuliwakataa Mignolet na Karius na tukasema ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Kwahiyo Klopp kaungana na sisi katika Usaliti kwa Kumleta ALISSON.

4) Tulilia sana kuwa Kiungo Mkabaji halisi ni FABINHO na si HENDERSON! Tukaitwa Wasaliti! Sasa Klopp ameshirikiana na sisi kwenye Usaliti kwani Anamchezesha FABINHO tuliyempigia kelele.

Hao wote tuliowalilia hapo juu tuliambiwa Kuwa sisi Hatujui Soccer Management.

Kwahiyo Kitendo cha Klopp Kutompanga Mignolet golini, Na Kutomchezesha Moreno beki 3, na Kuwaondosha Klavan na Lovren kwenye Beki 4 na 5, na kumchezesha FABINHO namba 6! Ni kwamba na Klopp pia Hajui tens Soccer Management!.

Hivi mpaka leo Kikosi Hichi kingelikuwa

FIRMINO - BENTEKE - MANE

LALLANA - HENDO - GINI

MORENO - KLAVAN - LOVREN - CLYNE

MIGNOLET
Hao waliokuwa Wakituita Sisi kuwa NI WASALITI na HATUJUI KITU leo hii wangeliyaona haya?

Au hawajui kuwa PRESSURE kutoka Dunia Nzima za WASHABIKI KAMA SISI LIVERPUDLIANS DIE HARD FANS ndiyo kilichomfanya Klopp akawanunua kina ALISSON, VVD, ROBERTSON, SALAH, XHAQIRI, FABINHO na KEITA ?

Kwa Usaliti huu Wa Kutaka Mafanikio basi bora Niwe Msaliti Siku Zote.

Na Kwa Upenzi Wa Kukubali Vipigo Kama Misimu Miwili na Nusu ya Klopp iliyopita kisa tu eti Niwakubali Wachezaji Hata Kama Wabovu! Basi Sitokuwa na Upenzi huo.
Duh wewe mtu hatari kwahiyo msimu ukiisha ukiulizwa mafanikio yako utaanza kusema kuwa umefukuza benteke,sakho, n.k then ukiulizwa mipango yako ni kufukuza hendo.....si bure una hatari wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna cha sportmanship,inamaana ameuona mpira wa liverpool baada ya kufungwa...he is a failure..kama huwezi kushindana nao una ungana nao ndicho alichokifanya huyo jamaa.
Kwani game ya kwanza pale emirates ulikifanya nini?niwakubali kwa lipi wakati tulisuluhu na mpira nlicheza mimi dk zote kaangalie takwimu urudi na usiwe unakurupuka kama umetoka usingizini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha nashukuru kwa kulitambua hilo so mheshimu unai then tukutane may

Sent using Jamii Forums mobile app

Kusupport Nilichokiandika Manayake hapa umeshamkana Rafiki yako Malafyale kwani yeye anaamini Liverpool hii ni bora zaidi ya Hata Barcelona au Man City inayotetea Kombe.

Kama huamini pitia Posts zake Jana uone ujumbe anaotupa kuhusu wachezaji wetu na Barcelona.

Na anaamini Klopp Ni Best Coach kwa Liverpool kuliko aliyekwisha kutupa mafanikio kuliko Benitez.

Sawa nashangaa kuniambia Nimeongea ukweli! :D:D

Kumbe ukweli munaujua bali huwa munaleta unafiki wenu tu
 
alieyetoa hoja ya ligi kuu ni nani??liverpool kama zilivyotimu nyingine nia yake kuu ni kuchukua makombe yote inayoshiriki,haijalishi ni ligi kuu au carabao..unajua kwetu sisi mashabiki kikubwa tunachokitaka kutoka kwenye timu ni furaha maana kama timu ikipata pesa nyingi mimi sifaidiki na chochote kikubwa nipate furaha tu,ican guarantee you pamoja na kwamba sijabeba hilo kombe lako unalosema ila mimi shabiki wa liverpool ninafuraha miaka yote kuliko shabiki wa arsenal...mafanikio katika mpira sio kubeba kombe tu bali kuwa mshindani wa kweli..nmecheza fainali uefa,nimebeba uefa kombe ambalo timu yenu haijawa kuliona live mnaliona kwenye tv,nmecheza fainali ueropa league,nmekua contender wa ubingwa wa ligi mara kadhaa...nadhani furaha tunayoipata kutoka kwenye timu ndo kitu pekee kinatufanya tuendelee kuzipenda timu zetu..
Beba EPL kwanza maana wanaume wote wana EPL mkononi wewe huna chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom