Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nazingua Mkuu sisi tumeifuta ahadiyako kwa kua tunajua uliitoa ukiongozwa na ushabiki kuliko uhalisia
Ahsante mkuu ila mbona fresh tu ningetulia kwanza ili nije kivingene maana kile kichapo heavy sana kimenikumbusha kile cha 6 nilichokupiga 2007 hapohapo anfiel ndio kinanipa nguvu ya kukaa humu na kutanua japo sio kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongereni kwa ushindi mkubwa wana liverpool hakika ilikuwa ni worst defeat kwa sisi mashabiki wa GUNNERS ,bila kupepesa macho mpo vizuri kwa sasa mpo na form nzuri na ari ya ushindani kuanzia wachezaji,kocha mpaka mashabiki wenu.......ama kweli ilikuwa rekodi nzuri sana kwenu na mbaya kwetu.Jambo nililoliamini ni kwamba kweli Mungu ni wa wote maana haangalii huyu yupo katika hali gani nimpe hiki bali anagawa rizki bila kuangalia yaani kwa liverpool hii iliyobarikiwa kila kitu na bado anaipa na bahati juu....kweli mwenye nacho ataongezewa.....All in all yaliyopita si ndwele tugange yajayo tumepoteza game ya 5 mwaka huu 4 zikiwa za ligi so mapambano yanaendelea ,mpira ni mchezo wa makosa na adui anatumia madhaifu yako kukuadhibu ,timu yangu haipo balanced hilo linafahamika na mumefanikiwa kutumia madhaifu niliyonayo kuniadhibu...................naamini kocha wangu atalitumia vema dirisha hili kurekebisha na kuziba mapengo yaliyopo na tutarudi vizuri...........

hongera King Ngwaba Don Clericuzio nguvu Malafyale MosDef ipogolo zumbemkuu Janjaweed MASAMILA na wanaliverpool wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooteeeeeeeeeeeeeeeeeee

hakika leo mtakuwa mmepata usingizi mzuri sanaaaaaaaaa

Tuombe Mungu atupe uzima na afya wote humu jamvini ili tuweze kufika may salama ili tufunge hesabu.

ASUBUHI NJEMA.

THIS IS FOOTBALL.
Wajina wangu dully Jr saa nyingine unakuwaga na akili kinoma 😛

Jamaa muungwana sana wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DullyJr , Ollachuga Oc na Mwenyeji wenu ambaye ni Mshabiki wa Liverpool ipogolo

Mtaongea Mengi Mwaka Huu!

Sasa Mumeacha Kuzungumzia Mpira Munafanya Mashambulizi kwa Washabiki Wa Liverpool.

Mimi Na Wataka Makombe Wenzangu Hatujutii tuliyoyafanya tokea Msimu Wa Mwanzo Wa Klopp! Mambo tuliyoyafanya ni:

1) Tulimkataa BENTEKE tukashambuliwa na kuitwa Wasiliti, lakini hatimae Klopp kamuondoshwa.. Kwahiyo Klopp kaungana na sisi kwenye usaliti Wa Timu.

2) Tuliwakataa Sakho, Moreno, Klavan na Lovren kuwa si Mabeki ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Hatimae Klopp Kawaondosha Sakho na Klavan, Na Moreno na Lovren kawaeka pembeni! Lovren sasahivi anacheza kwasababu wenyewe GOMEN na MATIP ni injury.
Kwahiyo hapa pia Klopp Kaungana na sisi katika usaliti.

3) Tuliwakataa Mignolet na Karius na tukasema ni Wabovu wanatufungisha! Tukaitwa wasaliti! Kwahiyo Klopp kaungana na sisi katika Usaliti kwa Kumleta ALISSON.

4) Tulilia sana kuwa Kiungo Mkabaji halisi ni FABINHO na si HENDERSON! Tukaitwa Wasaliti! Sasa Klopp ameshirikiana na sisi kwenye Usaliti kwani Anamchezesha FABINHO tuliyempigia kelele.

Hao wote tuliowalilia hapo juu tuliambiwa Kuwa sisi Hatujui Soccer Management.

Kwahiyo Kitendo cha Klopp Kutompanga Mignolet golini, Na Kutomchezesha Moreno beki 3, na Kuwaondosha Klavan na Lovren kwenye Beki 4 na 5, na kumchezesha FABINHO namba 6! Ni kwamba na Klopp pia Hajui tens Soccer Management!.

Hivi mpaka leo Kikosi Hichi kingelikuwa

FIRMINO - BENTEKE - MANE

LALLANA - HENDO - GINI

MORENO - KLAVAN - LOVREN - CLYNE

MIGNOLET
Hao waliokuwa Wakituita Sisi kuwa NI WASALITI na HATUJUI KITU leo hii wangeliyaona haya?

Au hawajui kuwa PRESSURE kutoka Dunia Nzima za WASHABIKI KAMA SISI LIVERPUDLIANS DIE HARD FANS ndiyo kilichomfanya Klopp akawanunua kina ALISSON, VVD, ROBERTSON, SALAH, XHAQIRI, FABINHO na KEITA ?

Kwa Usaliti huu Wa Kutaka Mafanikio basi bora Niwe Msaliti Siku Zote.

Na Kwa Upenzi Wa Kukubali Vipigo Kama Misimu Miwili na Nusu ya Klopp iliyopita kisa tu eti Niwakubali Wachezaji Hata Kama Wabovu! Basi Sitokuwa na Upenzi huo.
Good thoughts bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom