DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Hakuna cha ukweli wewe mwenyewe umekili kuwa hii ni liverpool bora toka ile ya miaka ya 70s....ila jambo la msingi ni makombe na future ipo ila katika soka lolote linaweza tokea so tusubiri.Kusupport Nilichokiandika Manayake hapa umeshamkana Rafiki yako Malafyale kwani yeye anaamini Liverpool hii ni bora zaidi ya Hata Barcelona au Man City inayotetea Kombe.
Kama huamini pitia Posts zake Jana uone ujumbe anaotupa kuhusu wachezaji wetu na Barcelona.
Na anaamini Klopp Ni Best Coach kwa Liverpool kuliko aliyekwisha kutupa mafanikio kuliko Benitez.
Sawa nashangaa kuniambia Nimeongea ukweli! 😀😀
Kumbe ukweli munaujua bali huwa munaleta unafiki wenu tu![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

analiwa 