Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Sikubali hili kwa Ronado mana huko aliendeleza zaidi na kua kee player.Hawawez kupata heshima kama walivyokuwa wakipata liverpool sababu hizo timu zimewakuza kisoka kule wamefata mafanikio na pesa kama ronaldo tu na manchester united madrid hakupata heshima kama tuliyompa
Fata pesa acha zarau mbona hatuja mchukia Suarez?
Unazani angekomaa kuuzwa ule mwaka Asenal tungekua na furaha nae?