Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Atakaemfunga Liverpool basi na ubingwa utaanza kuota mbawa pale anfild
Je kuna fans wa Liverpool anaamini team yake haitafungwa msimu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome back buddy...
Atakaemfunga Liverpool basi na ubingwa utaanza kuota mbawa pale anfild
Je kuna fans wa Liverpool anaamini team yake haitafungwa msimu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii gemu ili fanya nisimkubali Cr7 mpka leo.Kweli ni usaliti nakumbuka ronaldo aliambiwa ataondoka msimu unaofuata wa 2009/2010 alikubali ina maana angeandoka msimu wa 2008/9 kuchukua uefa ingekuwa vigumu alifunga goli muhimu sana kwetu nimekuelewa.
Nataman iwatokee kama ya Owen kaondoka tu tukacheza fainali 2 na kunyanyua kwapa kabsaa ha ha haaa
Unavyo wapanga kama kweli vile.Sasahivi iwapo OGS atapata mtaalamu Wa Kutumia Propaganda kwenye Media kuwajenga Wachezaji Kuwa na Ari kibwa kuliko Hata viwango vyao!
Na vilevile kuwafanya Washabiki Wawe na Moral kawa Wa Liverpool pale Anfield wanomfunga Pep kwa Shangwe tu! Basi January haiwahi kumaliza Munamshusha Arsenal na Chelsea.
Kwa Bonamouth sijui utachezea ngap mkuu.Wanacheza kama walevi
Hata droo hawapatiKwa Bonamouth sijui utachezea ngap mkuu.
Ukipambana sana ni draw.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nazungumzia KUSHUHUDIA.Unavuta bhange wewe sio bure, kama wewe ulikuwepo kabla ya 2004 kwanini yeye hakuwa liver kabla ya 2004, unajua kuwa 2001 liver ilichukua makombe matatu
Mkuu nipe link na mimi nikasome yote ayo..Nilichogundua Ni kwamba Kuna Watu Wanapima Ushabiki Wa Mtu kwa Kuangalia Tarehe aliyojiunga JF.
Pia wanapima umri Wa Mtu kwa Kuangalia Mwaka Mtu aliojiunga JF.
• Wanaamini Kuwa Wao waliojiunga Kati ya 2006 mpaka 2010 ndiyo walioanza Kupenda Mpira mwanzo na Ndiyo wao Wakubwa Kuliko sisi tuliojiunga Mwaka 2016.
• Kumbe Hawajui Kuwa mwaka 1994 ambao Mwanzilishi Wa JF yupo shule ya Msingi sisi SAA SABA usiku tunakesha Kuwaangalia Nigeria wakicheza World Cup.
Na wakati huo huo tunamshangilia Robbie Fowler akifanya Mambo Yake Liverpool.
MFANO: kwenye Halmashauri ninayoifanyia Kazi Mwaka Niliojariwa Kulikuwa na Jamaa Mmoja ananita DOGO na akawa anajiamini Kuwa yeye Ni Mkubwa kisa tu kaajiriwa Miaka 5 kabla yangu.
Kwahiyo Alijipima kulingana na Muda Wa kuajiriwa na kujikna yeye Ni Mkubwa.
Siku alipokuja kuina Tanzania ID yangu alijishangaa alipojikutia Mwaka aliozaliwa yeye Mimi nasoma Darasa la 3.
Kumbe hakujua Kuwa Kabla ya Kuanza kuajiriwa nilikuwa nikifanya Shughuli gani.
Kwahiyo kujiunga JF Leo haimaanishi Kuwa Mtu kapenda Mpira leo.
Abdallah Natepe Zanzibar Ni Mwanachama Wa Newcastle na Mdau Mkubwa Wa EPL lakini JF Hata hajui kama inaexist.
Kwa hiyo UCL hatujaiona?, uefa cup, carling cup, fa uefa super cup yaani yote hayo hatujayaona
Na hawa ndio wapo wengi haina ubishi mkuuSisi tulikuwepo kabla ya Chelsea ya 2004. Na pia tumeshudia timu ikibeba makombe.
Wewe ni fan wa Liverpool kutokana na historia yake. Hujawahi "SHUHUDIA" wala kunyanyua kwapa kwenye kombe lolote..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa dua la kukuClub zao zinaongoza ligi na wananafasi ya kutwaaa makombe kila mwaka point yako ni ipi mkuu?
Mpira bila unafki hauendini sahihi nadhani marefa msimu walipata kalipio au ndio upepo wa bahati na marefa upo nasi...
nasema kalipio maana takwimu za msimu uliopita zilionyesha Liverpool ndio timu ilitendewa sivyo na marefa aidha kwa kunyimwa penati na makosa mengine uwanjani hivyo msimu pengine wamejirekebisha na kututendea haki...
ni sahihi uwanja wa nyumbani jana tumeutumia vyema kabisa mashabiki Anfield walikua on thier toes mwanzo mwisho...
umepoteza jana jipange na yajayo maana hio tayari no done deal...
Na hilo ndilo lililomkimbiza coutinho aliogopa kuja kuwa kama SG mpaka anastaafu EPL analiona kwa majirani wakibebaHahaha ndivyo nilivyomsoma jamaa hatar sana hajui kama timu zao zinaongoza ligi na uhakika wa kubeba ndoo coutinho kishabeba ndoo kule barca
Kwani wewe LECAPITAIN HENDO akicheza vizuri unamsifiaga?acha unafkiTena Wanajotoa Kimasomaso wale wote waliokuwa Wakitushambulia tunapomkosoa Klopp kwa Kuwachezesha Wachezaji Wabovu.
Sasa Wanaona Aibu Hata Wacheze Uzuri Vipi Kina FABINHO, XHAQIRI, GOMEZ na ALISSON basi wanajifanya kupotezea hawawasifii Coz Nafsi Zinawasuta kwa Kitendo Chao Cha Kutushambulia Tulipokuwa tukikosoa Wachezaji waliokuwa Wakizicha Nafasi Hizo.
MIGNOLET - ALISSON
GOMEZ - LOVREN
FABINHO - HENDO
XHAQIRI - MILNER
Hawa viumbe wanaishi kwa history na ndio maana timu yao imekuwa kama jumba la makumbushoHao N.Forest wako wap sasa. Shida nyie mnaishi kwa mihemko ya historia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya mkuuHawatahili huruma hata kidogo wametudhalilisha sanaaa natama wapate majeruhi kabsaaa ili wapotee
Hoja yako wewe ni ipi hapo sasa?Wameshindwa hoja sasa wanaleta vioja! Hakuna mtu kamili hata klopp na yeye hajakamiliki like the rest of us, so sometimes anakosea tu na anahitaji kurekebishwa.
So what i see here when you give your opinion about our team in a positive way unaambiwa unamfundisha kocha kazi, everybody is entitled to their opinions and thats a fact.
Sent using Jamii Forums mobile app
Can soon ananyanyua kwapa kule kwa coutinho tayari wewe baki na dua zako mbaya wenzako malengo yanatimiaSijui wanajisikiaje huko thamani yao ilikua kubwa sanaaa wakajifanya wanaweza kuishi popote wakasahau Liverpool ndo iliowang`arisha laana iwatafune hadi wajenkuomna radhi.
Naamin Faby kaja baada ya Can kuringa.
Potezea hao glory hunter upukupuku wa liver fansSijawapangia muda, ila kwanini Liverpool ikipotea na nyie mnapotea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wapi sasa?Mkuu dah! Umewakosea heshima sana Nottingham Forest Wazee Wa Misituni kwa Kuwafananisha na Chelsea!!
Wana CL 2 hawa Wakata Misitu