safi kabisa maana sio kwamba Napoli wamefika hapa kwa kubahatisha....Leo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...
Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
properly said tho i ask myself we all have seen what Keita n Fabinho bring to the team then why not play them...If Klopp gonna play his traditional midfield of Hendo/Gini/Milner
Then he must play Keita, he's a must kama tunataka kushinda leo
i mean its not ok at all to bench Fabinho, but Keita presence in the midfield is a must kwenye game ya leo
hii kwa kweli ikiwa ndio lineup ya leo siioni tukiikosa Futuhi...Hii Ni Twitter and FB confirmed lakini sio Mtchday Line-up
Line up huiwezi kutolewa isipokuwa 1Hour before Kickoff.
Enewey! Kwakikosi hicho iwapo kitapangwa tumeaga Alfajiri sana
properly said tho i ask myself we all have seen what Keita n Fabinho bring to the team then why not play them...
he played Hendo at Naples n we lost n not a single shot on target meaning we need a solid mids to bring forward the balls na sio Hendo muda mwingi yeye ni back pass...
leo Napoli shouldnt grow into th game kama walivyotufanyia kwao ilikua mchakachaka...
with Gini, Fab, Keita they are steel with decent progressiv passes...
in the mean tym lets see what th gaffer il choose...hope he look at th bigger picture of whts needed to progress..
kwa huu mtazamo wake sidhani kama leo tutapita...Hendo cant dribble, he wil lose a few or almost evry pass n Napoli know ni weak in holding th the ball so watamfuata mazima...kocha wetu anapenda kuishi kwa kuprove watu wrong
anataka baadae aje kusifiwa kuwa he improved hennderson na alishinda kombe na average midfield
so leo akiweka mid yake mbovu na akashinda, he will be praised for winning a game with a weak midfield.
kwa huu mtazamo wake sidhani kama leo tutapita...Hendo cant dribble, he wil lose a few or almost evry pass n Napoli know ni weak in holding th the ball so watamfuata mazima...
timu ya Napoli wako vzuri sana kukaa na mpira na wanajua when to slow down n wen to accelate forwad..
sasa kumweka huyu Hendo is a time bomb....
Klopp ana kiburi cha kijeremani hata Karius ilikua ivi ivi Gary Nevile alisema sana u il neva win anythin na kipa kama yule na Klopp hakusikiliza mpaka pre season ndio akaamini he s a sqaud player kipa na sio classy starter kama Allison...
kuedelea kumng'ang'ania Hendo ni janga kwake maana yeye ndio atanyooshewa kidole kwamba ingekua aje angecheza Keita, Gini, Fab or Gini Keita Milner....
Rodgers aliona ni mchezaji wa kawaida alishamwambia Hendo enzi zile atafute timu sijui kwa nini hakuuzwi by then griiiiiiiiiii..
nwa ngoja tusubiri tuone kama kweli anataka atupe raha au atupeleke futuhi na hendo wake...
Haha mkuuKDB, SILVA, AGUERO and FERNANDINHO wote wamepata injury? Kama Ni kweli we will have the golden chance to beat them or not to lose to them
YNWAAfe kipa, afe beki.. Mguu wa shingo mguu wa roho, watake wasitake vijana wa Ancelloti lazima wakae Anfield..
#YNWA....
Unachokisemaa ni kwelii ila kuna huyu kiumbe huyu ambayee kapewa dhamana yenu ....huyu jamaa wa kuitwa Damir Skomina ni bundi kwa Liverpool hapa anazungumziwa mwamuzi wa leoAfe kipa, afe beki.. Mguu wa shingo mguu wa roho, watake wasitake vijana wa Ancelloti lazima wakae Anfield..
#YNWA....
Unachokisemaa ni kwelii ila kuna huyu kiumbe huyu ambayee kapewa dhamana yenu ....huyu jamaa wa kuitwa Damir Skomina ni bundi kwa Liverpool hapa anazungumziwa mwamuzi wa leo
Amehusika kwenye michezo 4 ya Liverpool kabla ya huu dhidi ya Napol. Na mara zote alizohusika kuichezesha michezo hiyo Liverpool amepata kipigo. Leo tena ndiye bundi anayenguruma pale Anfield.
2009/10 - Liverpool 1-2 Fiorentina(Uefa).
2014/15 - Besiktas 1-0 Liverpool(Europa).
2015/16 - Villarreal 1-0 Liverpool(Europa).
2017/18 - Roma 4 -2 Liverpool(Uefa).
2018/19 - Liverpool vs SS Napol (Uefa).
Damir Skomina, anaanzia kwenye mawani ya JK, anamalizia kwenye macho yetu
Unachokisemaa ni kwelii ila kuna huyu kiumbe huyu ambayee kapewa dhamana yenu ....huyu jamaa wa kuitwa Damir Skomina ni bundi kwa Liverpool hapa anazungumziwa mwamuzi wa leo
Amehusika kwenye michezo 4 ya Liverpool kabla ya huu dhidi ya Napol. Na mara zote alizohusika kuichezesha michezo hiyo Liverpool amepata kipigo. Leo tena ndiye bundi anayenguruma pale Anfield.
2009/10 - Liverpool 1-2 Fiorentina(Uefa).
2014/15 - Besiktas 1-0 Liverpool(Europa).
2015/16 - Villarreal 1-0 Liverpool(Europa).
2017/18 - Roma 4 -2 Liverpool(Uefa).
2018/19 - Liverpool vs SS Napol (Uefa).
Damir Skomina, anaanzia kwenye mawani ya JK, anamalizia kwenye macho yetu