luzapulu a.ka. baskeli la miti kitimu ka half season wonder huna hadhi ya kubatle na washika mtutu 7bu kitimu kenyewe ni maajuzaUnakaza ubongo lkn najua umeelewa
Shabik wa the gono kabishane na chelshit huko huku huna hadhi yako utajiabisha tu
luzapulu a.ka. baskeli la miti kitimu ka half season wonder huna hadhi ya kubatle na washika mtutu 7bu kitimu kenyewe ni maajuza
una pipoz zina viherehere sana yaani vinajifanya vinajua kupanga timu kuliko makocha dadadekBaadaye mtakuja kumpigia klopp makofi. Kuna watu huku huwa siamini kama ni mashabiki wa Liverpool. Tucheck game wazee tuwaache makocha wafanye kazi zao
big up mkuu.....Carlo Ancelotti, Coach wa SS Napoli ni mmoja kati ya makocha bora, mwenye mafanikio kwenye hii ligi ya mabingwa barani ulaya. Kaibadili Napoli kuwa bora kuliko aliyoiacha mzee Sarri. Tusitegemee mteremko leo, kwa wale mlioona game za Napoli kwa siku za karibuni, mtakubaliana nami kwamba tunaenda kupata wakati mgumu pale Anfield.
Sioni ni kwa vp tunaweza kuvuka kwenda knockout stage. Napoli ni timu nzuri na bora pia. Tuombe tu Mungu awe upande wetu.
YNWA
na wewe unashangilia luzaPULU?Umeandika kwa makalio..
Nilikuwa najiuliza hii timu huku ndani wanatoafautiana kwa sababu gani kumbe kuna watu wanaoamini wanajua sana wakati hawajui chochote ,kama unashindwa kujua midfield ya timu yako ambayo ni first eleven, Mimi sijakulazimisha ushabikie timu hii,jipange haujui na bahati mbaya haujui kama haujui .Mambo ya kujua mtu ni shabik au sio shabik hayakuhusu kila mtu anaandika anachokiona humu
Game tukishinda sawa
Tukilose ni ujinga wa kocha
Ova
Hahahaha una anza kubadili maneno..Mimi ata wasiwasi kwenye hii game ya Leo Sina.
√ Coz naamini tu tunashinda hii mechi
√ Na iwapo hatukushinda basi ninajua hatukushinda kwasababu gani
MARA YAKO YA MWISHO KUCHUKUA EPL LINI?Mara yako ya mwisho kushirik UEFA lini???
Mara yako ya mwisho kuchukua UEFA lini???
Mara yako ya mwisho kumfunga liverpool lin?
Mara yako ya mwisho kuingia nusu fainal UEFA lini
Mara yako ya mwisho kucheza fainal ya UEFA lini?
Mara yako ya mwisho kumzid liverpool point kweny EPL ln
Majibu unayo tyr
Nilikuwa najiuliza hii timu huku ndani wanatoafautiana kwa sababu gani kumbe kuna watu wanaoamini wanajua sana wakati hawajui chochote ,kama unashindwa kujua midfield ya timu yako ambayo ni first eleven, Mimi sijakulazimisha ushabikie timu hii,jipange haujui na bahati mbaya haujui kama haujui .
Wewe shabiki wa chadema usiyeijua team yako unalazimisha kwa ufahamu wako kocha afuate akili zako ambazo kimsingi haziwezi ongoza hata kundi la nyumbu na bata utasubiri sana ,Shabiki wa CCM na mpira wapi na wapi Nenda kavae mashati ya kitenge cha kijani na njano maana ndo kazi mnazo ziweza