dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
zaidi zaid labda utd apate sareMimi nina uhakika Man united lazima watawakalisha.
zaidi zaid labda utd apate sareMimi nina uhakika Man united lazima watawakalisha.
do or die today
mbona na sisi tulicheza jumatano ile mechi na manchester united?Timu ambazo hazichezi j4 na j5 zinafujo sana sijui kwanin ????
Timu yako kama inacheza alhamis si utulie ungoje wanaume waanze j4 na j5 hata kwenye mtungo mbabe ndio huwa anaanza
Unakaza ubongo lkn najua umeelewambona na sisi tulicheza jumatano ile mechi na manchester united?
Leo Tunampiga Napoli Na Kutinga Last Sixteen!
Nani anabisha? Rant boys? Gooners?
For what I know Liverpool have already switched their energy na wachezaji tayari wameanza kupigana kwa ari! Na hilo mutalishuhudia leo vs Napoli.
Ninachowaza kwasasa ni jee Knockout stage tutakutana na nani? Na sio nipoteze muda kuwa leo Tutaqualify vipi1
Bora ww umekuja na fact sio hao wengine wanakuja kupiga ramliLeo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...
Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
Hizo dua za kukuu, huu ni usiku wa majogoo, Napoli anakufa 5 kama zile za Club friendlyNahisi harufu ya europa humu
Usiye mpenda kaja..HendersonLiverpool team news..confirmedView attachment 964148
Tangu lini na wewe umekuwa mpiga ramli? Si unajinasibu wewe muumini wa 90mins!Leo Tunampiga Napoli Na Kutinga Last Sixteen!
Nani anabisha? Rant boys? Gooners?
For what I know Liverpool have already switched their energy na wachezaji tayari wameanza kupigana kwa ari! Na hilo mutalishuhudia leo vs Napoli.
Ninachowaza kwasasa ni jee Knockout stage tutakutana na nani? Na sio nipoteze muda kuwa leo Tutaqualify vipi1
Liverpool ninayoijua mimi haiwezi ogopa hata tukifungwa 2-0 first half bado tunauhakika wa kupambana kipindi cha pili. NAPOLI kwanza atafungwa nje ya uwanja ANFIELD ule sio uwanja ni handaki la maangamizi #roma wanazo taarifa kawaulize walivyookelewa anfieldLeo mechi ngumu Sana Mkuu..Sababu mtacheza with handbreak mkiogopa Napoli kupata goli...
Napoli Pia wana Ukuta mzuri sana.Let's wait and see.
50-50 kwangu.
This is according to Paul Joyce, but I think Keita must start over Henderson, and Fabinho over WijnaldumLiverpool team news..confirmedView attachment 964148
Liverpool team news..confirmedView attachment 964148
TAA akicheza upande mmoja na Shaqir, tunacheza vizuri sana.
Pale Mid wacheze Gin,Fabinho,Keita.
Forwards Mane ( money) Bobby, Mooo.