Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Manyua siipend maana wana kelele na kocha wao mou

Katikat waliposhinda ,mou akasema top 4 uhakika, walipokosa matokeo mech 3, akadai top 4 ngumu, jana wamempiga fulham ,tayar kelele zimizid,

Halafu wanakauli yao chafu, wanadai hata wawe wabovu vip, liva na arsenal hatuwafung,

Sasa juz wamepata droo wameshangilia kama wameshinda, now wanatamba wanaenda kumfunga liva

Wakat ukweli unajulikana man u hana bek ya kuizuia liver, na mou hajawahi kwenda anfield kutafuta ushind zaid ya sare,

Kingine, wakishanusa top 4 ,kelele zitarud, hivo naiombea liva ampige manyua tena kipigo kikubwa,

Soon atarejea nafas ya 10 ,manaa westham, everton na bmouth wanamvizia wamuweke nyuma yao, na hiyo ndio nafas inayowafaa
Wewe kama ulishindwa kuifunga Man united unadhani Liverpool ndo ataweza? Mou hawezi kukubali kizembe tu Kumaliza raund ya kwanza bila kushinda big match hata moja. Mou ni kocha mwenye maajabu sana ..lazima atamkalisha na kumpakata klopp..
 
  • Pia usisasahau Kuwa EPL hiihii Arsenal alishindwa Kuzuia Kufungwa na Mancity na Chesles lakini sisi tumeweza
  • Sasa utashangaaje Arsenal kushindwa kufunga lakini sisi tukaweza kufunga?
  • Arsenal and Liverpool are two different teams with two different philosophy
  • Remember that we are leading the race till now
 
Gudluck Liverpool's fans vs napoli
Mm nitakuwa nakunya Glass yang ya wine nikisubiri Alhamis ..

Bado nashekerekea kipigo nilichompa city
 
Timu ambazo hazichezi j4 na j5 zinafujo sana sijui kwanin ????

Timu yako kama inacheza alhamis si utulie ungoje wanaume waanze j4 na j5 hata kwenye mtungo mbabe ndio huwa anaanza

Kwenye Kabila la Wanyaturu (Singida) Huwa Wanakula Wanaume Mwanzo Ndiyo Wakafata Wanawake

Kwahiyo wa Futuhi ni Wanawake tu wanaosubiri mpaka tutangulie sisi Wanaume kwenye Mapambano
 
Leo Tunampiga Napoli Na Kutinga Last Sixteen!

Nani anabisha? Rant boys? Gooners?

For what I know Liverpool have already switched their energy na wachezaji tayari wameanza kupigana kwa ari! Na hilo mutalishuhudia leo vs Napoli.

Ninachowaza kwasasa ni jee Knockout stage tutakutana na nani? Na sio nipoteze muda kuwa leo Tutaqualify vipi1
 
Wewe kama ulishindwa kuifunga Man united unadhani Liverpool ndo ataweza? Mou hawezi kukubali kizembe tu Kumaliza raund ya kwanza bila kushinda big match hata moja. Mou ni kocha mwenye maajabu sana ..lazima atamkalisha na kumpakata klopp..
Mkuu ina maana kwa mtazamo wako hao gooners ni zaidi ya Liverpool...
Murinyo huyu pale Anfield sana sana atakuja kuisaka draw na sioni akiipata zaidi ataambulia kipigo...
mtasubiri sana sie kupigwa Jpili ni gemu ya 17 bila kupoteza EPL na point 3 safi kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom