Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,042
Come back ya Mourinho inahitajika
mnakibebeoNakuhakikishia Malafyale anasubiri baada ya dakika 90 aje hapa aseme Tunabeba hili Kombe.
tunayngoja hayo maajabuCome back ya Mourinho inahitajika
Yamekuwa hayo tena mzee babqHii timu akipewa benitez tunabeka kombe Klopp ni fala
Na wakienda UEro wamekwisha maana Salah huwezi kucheza Alhamis na J2Sawa lkn muda unasonga, na watoto hawaonesh dalili ya kulegea ,zaid wanawatafuta bao la tatu,
Mkijiroga mpigwe hii game,
Huko napoli ashinde,
Mnakuwa mmejiweka juu ya mawe, muda wowote mbaibukia FUTUHI CUP
Kocha msaidizi ndo alikuwa master mind ukisikia giggy pressing kocha msidizi ndo alikuwa anaengineerNdio mkuu hakuna kitu pale
Milner na Matip, milner katoa pass mbovu Gini kashindwa kukaba, matip had a chance to close him down ila akawa anarudi nyuma utadhani uwanja ni mita 300tungeweza kudiscuss kuhusu blunders za Lallana na Gini kwenye magoal ya Red star, but kuna top red atasema ni agenda kwasababu nina "chuki"
some "football experts" on this platform are so laughable.
For sure. Akizingua, atembee. We are fed up!Tunahitaji kushinda mataji..Klopp asepe zake