Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Malafyale jitahidi Kumtetea Kocha Wako lakini naamini ikosiku utajua Kuwa Klopp anakuja Vingunguti Kuvuta Bangi.

Na ipo Siku utakiri Hapa kuwa Klopp anapanga timu kuwaridhisha Waingereza..
Lallana? Milner? Sturridge?

Na ipo Siku utakiri kuwa chini ya Klopp haitatokezea kushinda Chochote.
Liverpool ni timu ya Waingereza

Majority ya Legend wa Liverpool ni waingereza Gerrard,Carragher,Owen,Fowler,Dalglish,Hansen,Souness , Keegan,Barnes, Thompson,Clemence et all
So ulilalamike Klopp kuwapanga wao ni timu yao
 
Na Waingereza Walivyowashenzi Klopp Hata aboronge Vipi tunalalamika sisi tu Watz lakini wao hawamuulizi kitu kwavile anawapanga Waingereza kwenye Kikosi.

Lakini Benitez alipokuwa akiwapanga Wageni na Muingereza Ni Gerrard na Carragher tu basi Walimfanyia Fitna Mpaka akafukuzwa.
 
Yani Namshauri Mane asije akajaribu Kusaini Mkataba Mpya kwa Timu hii.

Mwenzio Coutinho ana akili kwelikweli kutafuta Njia ya kutokea mapema kabisa.

Awaachie Kina Lallana timu yao.
Hamkupata mbadala sahihi wa coutinho kwetu yalitukuta uza ronaldo nunua valencia yule malafyale nilimwambia coutinho ataacha shimo aligoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom