kwa hii line up Klopp has blown up every chances of going to next stage hii mechi kama tungeshinda tungekuwa katika mazingira mazuri ya kufuzu kwenda next stage.

Kwa mazingira ya group letu yalivyo sidhan kama angekubali ku-gamble on this match.

Sturridge sijaona kama anachofanya zaidi ya kutaka kufunga pekee.

Lallana, .................................

Matip badala ya kukaba anarudi nyuma mpaka mtu anafunga goli la pili
 
Sawa lkn muda unasonga, na watoto hawaonesh dalili ya kulegea ,zaid wanawatafuta bao la tatu,

Mkijiroga mpigwe hii game,

Huko napoli ashinde,

Mnakuwa mmejiweka juu ya mawe, muda wowote mbaibukia FUTUHI CUP
Na wakienda UEro wamekwisha maana Salah huwezi kucheza Alhamis na J2
 
tungeweza kudiscuss kuhusu blunders za Lallana na Gini kwenye magoal ya Red star, but kuna top red atasema ni agenda kwasababu nina "chuki"

some "football experts" on this platform are so laughable.
Milner na Matip, milner katoa pass mbovu Gini kashindwa kukaba, matip had a chance to close him down ila akawa anarudi nyuma utadhani uwanja ni mita 300


kwa hizi performance na formation hii tutapigwa game nyingi unless waimprove maana opponent wamejua wakiipress midfield yetu we are useless kama walivyofanya arsenal
 
Back
Top Bottom