Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

#LFC line up v Red Star tonight: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Milner, Lallana, Mane, Salah, Sturridge.

Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Firmino, Gomez, Moreno, Origi.
dude Lallan n Sturidge hope they prove me wrong
 
Watoto leo wanataka wawang'ang'anie ,

Msipokaza halafu kule napoli ashinde tutaongea lugha nyingine
 
nilivymuona Matip, Lallana na Sturidge aa nilijua hapa tunahitaji kucheza kama unit maana hawa wachezaji hua hawa deliver kwa shinda sanaa....
 
Huyu kocha licha ya kua ni mzuri sometime naona anaweza kukaa miaka kumi liver bila kombe, muda mwingine naona bora atimuliwe tu mbona ukame tushazoea maana huwezi kua na timu imekamilika kwa karibu asilimia 85 halafu haueleweki lengo lako lipi?
sisi chelsea tukitimua mnasema gatukai na makocha
 
Kuna wachezaji awapigwi bench kama wanahisa liverpool... kocha mpaka sasa hana kikosi sahihi...


Naamini uwezo wa kushinda hii gemu tunao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom