Tumecheza Vizuri...
Si Makosa ya Timu...
Si Makosa ya Kocha...


Ni Individual Mistakes za Trent Alexander-Arnold Ndiyo Zilizotufanya Tupoteze Mchezo...
Timu ina Consistency Nzuri tu...
Tujipange Kwa Next game...


[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Nafikiri TAA anatolewa kafara. Lovren ameshindwa mara mbili kucheza mipira ya kichwa hali iliyosababisha Mpemba aonekane nyota na hatari mbele ya TAA.
Dhahiri ugonjwa wa mipira ya hewani unataka kurudi tena.
 
Nafikiri TAA anatolewa kafara. Lovren ameshindwa mara mbili kucheza mipira ya kichwa hali iliyosababisha Mpemba aonekane nyota na hatari mbele ya TAA.
Dhahiri ugonjwa wa mipira ya hewani unataka kurudi tena.


Mkuu Lovren Kipindi Hichi Baada ya Kuja [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] anacheza Vizuri tu!

Na Kuhusu Aerial Duels Tokea Zamani Hajawahi Kuwa Mzuri na ni Marachache anayo win Mpira ya Juu.
Ni [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] pekee ambaye ni Best Kwa Kuwin Aerial Duels hasa Kwa Set-Pieces..

By the way Leo Kwa nilivyouangalia Mpira Hatukufungwa Kwasababu Tumecheza Vibaya! Bali Tumefungwa Kwa Some mistakes tu tulizofanya.

Kwatimu ilivyocheza inahitaji Pongezi kwani ilijitahidi Kutaka Kusawazisha lakini Haikubahatika.
 
Same old Dejavuz Lovshit again, especially for the first goal. He didn't have to commit that much (I have lost count on the regularity at which this same mistake has been popping up back again and again).

Deeply hurt.
 
Hii second place tutaichukua jumla Next week
Screenshot_20180310-173815.png
 
Back
Top Bottom