Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

My Prediction Kwa Michezo Yetu 9 iliyobakia:

√ Man United (A) - Draw (61points)

√ Watford (H) - Win (64 points)

√ Palace (A) - Draw (65 points)

√ Everton (A) - Draw (66 points)

√ B'mouth (H) - Win (69 points)

√ WBA (A) - Draw (70 points)

√ Stoke (H) - Win (73 points)

√ Chelsea (A) - Draw (74 points)

√ Brighton (H) - Win (77 points)

Utabiri Wangu ni Kuwa Tutamaliza Msimu na Points 77 au Zaidi 77+ na si Chini ya Hapo.
Enough Points to finish inside the so called Top Four (though I hate it!).
Unapiga mahesabu hujaenda uwanjani? Teh. Humalizi na point 70 msimu huu.
 
Leo hawakupaki bus kama uliangalia vizuri, ilikuwa ni defence game ya kawaida. Kilichotucost ni wachezaji wetu kuunderperform. Milner aliongoza kwa wachezaji waliocheza hovyo leo, hana kiwango cha kupangwa mechi ya leo. TAA nae hivyo hivyo. Yapo mengi ningeongea lakini mi ni mvivu kutype
Mbinu zimewashinda braza.

Hakuna cha ku underperform.
 
Klopp amekosea sana tena sana kumtoa AOX alivyorudi vizuri kipindi cha pili, ningetegemea amtoe Milner na sio AOX.

Milner hana kiwango cha kucheza mechi ya leo, angeanza tu gini.

Klopp p amezidiwa mbinu leo, Mourinho katika tactic iliyomuweka juu leo ni Kuua movement zoote za forward zooote tatu.

All in all, dogo Rashford ni mchezaji chipukizi mwenye kipaji na akili.
Wewe sio kocha, hata level ya uchambuzi haupo.

Wewe ni shabiki.

Kocha anajua mbinu na wachezaji wapi watakaofit kwenye mbinu zake.

Kocha ndie anaefanya mazoezi na timu yake kila siku, anajua nani yupo fit na nani kimeo.

Kama unajua zaidi ya Klopp, nenda kaombe kazi Liverpool.
 
Tutamfukuza Maana hana vyeti vya ukocha
 
Wewe sio kocha, hata level ya uchambuzi haupo.

Wewe ni shabiki.

Kocha anajua mbinu na wachezaji wapi watakaofit kwenye mbinu zake.

Kocha ndie anaefanya mazoezi na timu yake kila siku, anajua nani yupo fit na nani kimeo.

Kama unajua zaidi ya Klopp, nenda kaombe kazi Liverpool.
All in all, its a mere opinion the same as your reply.

My post and yours are gossips, useful for nothing !

Stop being arrogant !
 
Mkuu Lovren Kipindi Hichi Baada ya Kuja [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] anacheza Vizuri tu!

Na Kuhusu Aerial Duels Tokea Zamani Hajawahi Kuwa Mzuri na ni Marachache anayo win Mpira ya Juu.
Ni [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] pekee ambaye ni Best Kwa Kuwin Aerial Duels hasa Kwa Set-Pieces..

By the way Leo Kwa nilivyouangalia Mpira Hatukufungwa Kwasababu Tumecheza Vibaya! Bali Tumefungwa Kwa Some mistakes tu tulizofanya.

Kwatimu ilivyocheza inahitaji Pongezi kwani ilijitahidi Kutaka Kusawazisha lakini Haikubahatika.

Ni kweli kaka, timu imecheza vizuri na wanastahili kupongezwa. Tukiri kuwa tumecheza na timu bora iliyotumia makosa mawili kupata magoli mawili.
 
Mnatujazia tu thread kwa maelezo marefuu kujiona kama wao ndiyo wanaijua sana Liverpool tena wanajua kuliko hata JK
Thread ndefu hamna lolote la maana zaidi ya kuitana majina kama huyu anajua huyu hajui!
Liverpool hii ni imara kuliko Liverpool yyt ile ktk modern football na makombe yatakuja!
Hata hizo Barca sijui Madrid kuna miaka tena ya karibuni tu walikuwa wanatolewa na Liverpool wakarudi wakajipanga wakaanza kuchukua UCL
JK ni kocha sahihi kwa Liverpool anaisuka team na makombe yataanza kuja tu!
Hii bado haijaifikia Liverpool ya Kuit, Alonso na Torres. Na nyie Mane na Salah wakikosa tu hakuna mnachoweza kufanya. Maana wafungaji wenu ni Forminho, Mane na Salah tu.
 
Leo hawakupaki bus kama uliangalia vizuri, ilikuwa ni defence game ya kawaida. Kilichotucost ni wachezaji wetu kuunderperform. Milner aliongoza kwa wachezaji waliocheza hovyo leo, hana kiwango cha kupangwa mechi ya leo. TAA nae hivyo hivyo. Yapo mengi ningeongea lakini mi ni mvivu kutype

Mimi nimeona kama wamecheza 6-3-1 walikuwa na wachezaji wawili wa kiungo cha kushambulia waliohangaika huku na kule Sanchez na Mata. Rashid alikuwa anaingia ndani kusaidiana na Mwalukaku.
Hakika wamefanikiwa. Mo alibadili kidogo mfumo wake wa kujilinda na siku zote hafeli katika hilo.
 
Pole sana wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom