Kumemwagia maji ya motoKuna utulivu sana humu
Humu napatembelea mara chache mkuu![]()
vijana wa humu wana nidhamu sana
Mm pia ni mara chache ila nimepatwa mshangao kuona jinsi jukwaa tunalitawala kama hakuna wahusika, aisee kuna watu wana roho nyepesi sanaHumu napatembelea mara chache mkuu
Hahahaha. Wamepigwa ma 2 ya mapema. Ndo tatizo wamechanganyikiwa mkuu.Mm pia ni mara chache ila nimepatwa mshangao kuona jinsi jukwaa tunalitawala kama hakuna wahusika, aisee kuna watu wana roho nyepesi sana
Waje wafarijiane sasa wanaweza rudisha, ila mmh sidhani mana Mourinho akishafunga geti ndio basi tenaHahahaha. Wamepigwa ma 2 ya mapema. Ndo tatizo wamechanganyikiwa mkuu.
Kurudisha ni ngumu, huyu jamaa hatakiwi kukuanza. Inatakiw umuwahi. Hata akibahatika lisizidi goli 1Waje wafarijiane sasa wanaweza rudisha, ila mmh sidhani mana Mourinho akishafunga geti ndio basi tena
Kurudisha ni ngumu, huyu jamaa hatakiwi kukuanza. Inatakiw umuwahi. Hata akibahatika lisizidi goli 1Waje wafarijiane sasa wanaweza rudisha, ila mmh sidhani mana Mourinho akishafunga geti ndio basi tena
Nikweli mkuuKurudisha ni ngumu, huyu jamaa hatakiwi kukuanza. Inatakiw umuwahi. Hata akibahatika lisizidi goli 1
Chamberlain na Milner ndio sababishi pamoja na beki TAA.Fanyeni mpango muwapumzishe Salah na Chambeln..wamedorora sana leo.
Mkuu tatizo Mourinho anarudi na mbinu ya kuweka bus nyuma kwahyo mnahitaji zaidi ya mbinuWanaongoza tu hawa majamaa come on reds YNWA