Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Bola wewe umeliona japo dogo nae hakutakiwa kwenda kukaba kizembeNafikiri TAA anatolewa kafara. Lovren ameshindwa mara mbili kucheza mipira ya kichwa hali iliyosababisha Mpemba aonekane nyota na hatari mbele ya TAA.
Dhahiri ugonjwa wa mipira ya hewani unataka kurudi tena.