Mbona la mapema sana. Though bao la kwanza linakuwaga na kiherehere sana....dk ya 9. 0-1 Burnley anaongoza. Ile ngwaba anayoita Robin hood inaweza ikatokea hapa.
Kwani kuna nin mkuuKlopp is seriously getting into my nerves now. I had my doubts of him when he was appointed to take over from BR.
Bora hata tungeendelea na BR and maybe, just maybe, angeleta stability.
Huu tulio sasa chini ya Klopp nao ni ujinga mtupu - kocha gani hana plan B??
Viogope nini na wakati kazi yenu kuchukua point kwa timu kubwa na kugawa kwa timu ndogoHivi vitoto vina kiherehere, vinatupiga goli mapema hivi haviogopi?!
Ni Liverpool 2 - 1 BurnleyFainal whistle liverpool 2-0 Burnley. Point 3 muhimu, ila game ilikuwa mbovu. Game butuabutua. Hovyo kabisa.
Fainal whistle liverpool 2-1 Burnley. Point 3 muhimu, ila game ilikuwa mbovu. Game butuabutua. Hovyo kabisa.