MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
source yako ni The Mirror..
you're way bettee than that..
source yako ni The Mirror..
you're way bettee than that..
"I signed a contract with Manchester United and I didn't do that of my own free will," Mikel exclusively told Sky Sports News.
Mikel adds to United saga
Chris Hatherall ashawahi kureport hii Saga ya Obi Mikel. He wanted to join Utd..
And maneno ya wachezaji baada ya kusign kwenye new club huwa ni kukeep it proffesional tu..nothing else..
Obi Mikel cried when Man Utd move failed - Telegraph Obi Mikel cried when Man Utd move failed
lol..and you believe that..
Bro, Coutinho lowkey tried to force a move out of LFC wakati wa Copa America..but the way anavyoiongelea LFC kwenye Medias utafikiri ni New Gerrard/Daglish.
players ni proffesionals, playing football ndiyo kazi yao, ndiyo maana wanakuwa free kuongea mengi wakisharetire au wakienda kucheza sehem ambayo haitaathiri viwango vyao kama wakiamua kuongelea Saga zao za usajili.
Obi Mikel wanted to play for Fergie, it was his dream.
Just rmbEd Felipe Luiz alisema ilikuwa his childhood dream kuplay for Chelsea. Hahahahahaha!
imagine a brazillian kuwa na dream ya kuchezea Chelsea tangu akiwa mtoto mdogo. Hahahahah.
Chelsea have just started kutengeneza their own history and relevant legends. Ni better team in England kwasasa kama Man City. But no any bigger than Arsenal/Utd/Chelsea.
not mocking you guys kwa kutumia Hela nyingi kuwavuta wachezaji kwenu, because thats a modern football..but other than English born players NO players from across the world w'd join Chelsea/PSG/Man City kwa "Mapenzi Binafsi".
you've just started to bulid your own legacy..s
kwa hiyo Sky sports walitunga habari??

"John Obi Mikel was crying the day he joined Chelsea and really wanted to join Manchester United, it has been claimed in an explosive court case in Norway."
"In London, Mikel signed for Chelsea and was interviewed on Sky, claiming he had previously been forced into signing for Manchester United and really wanted to play at Stamford Bridge."
quotes from the same article
MosDef usiniambie huamini na Sky sports !!!!
so you expected Obi Mikel kusema "hajaridhishwa na move yake ya Kwenda Chelsea?"
Sky sports interiewed Obi Mikel..ndo maan huwa hizi outlets huwa zinatumia neno "Claim"..
sasa Chris Hatherall alifanya uchunguzi, ndo maana hiyo kwake siyo news ni report..
ni kama reports zilizowaumbua kina Sam Allaydice and Cos..
Obi Mikel wanted to join Utd and Not Chelsea..
Carragher kipindi kile Benitez anafukuzwa LFC, alihojiwa na Skysports na kusema it was heartvreaking kwa Rafa Kuondoka LFC..
but ukweli ni kuwa ni mmoja kati ya players walioplay big part kwa Rafa kufukuzwa LFC, hasa baada ya Rafa kutokubaliana na jamaa kupewa mkataba mpya.
but the whole world ilijua kuwa carragher was sad kwaajili ya Benitez kwasababu tu ya "interview" yake na "Skysports"
"It's a dream to play at Chelsea. It's a unique chance. I will try to negotiate," Costa told Globo Esporte.
Read more at 'It would be a dream to play for Chelsea' - Brazilian star issues come and get me plea to Mourinho
muache Chris Hatherall aendelee kufanya uchunguzi , ila kama Mikel angataka kuenda Man Utd kwa mazingira yalikuwepo angeweza ku force hiyo move ukichukulia pia alikuwa apate mshahara mkubwa kuliko hapo Chelsea.
mkuu wewe source yako ya habari za kimichezo ni wapi ? au ndo Chris Hatherall ? hakuna mtu anayeidharau sky sports kama chanzo cha habari cha kuaminika za michezo.
Nilikuwa "sijui" aiseeekuna tofauti kubwa kati ya News na reports Aisee..
Nilikuwa "sijui" aiseee
bothlol..ignorance au Maksudi??
FOR ME;
Genuine concrete football reports in England.
1.Telegraph
2. Guardian.
Genuine Football news outlets in England.
1. Liverpool Echo
2. Express
3. The Times
not arsed with Skysports at all..
hahahahahahahaha..
Suarez said it was his "dream" to play for LFC..few yers later forced a move and accepted a pay cut to join Barca. On the day of his interview he said "it was his "dream" to join Barcelona.
Di Maria said it was his "dream" to play for utd, on year later forced a move to PSG, alipofika PSG "akasema it was his dream to play for PSG, maneno kama hayo yalikuwa yanatoka kwa mtu aliyechezea REAL MADRID kwa mafanikio makubwa.
Few days before Falcao joined utd, he tweeted "anakaribia kusign kwenye club ya ndoto zake Real Madrid" akamalizia na halaaa madrid, but move ilipcollapse akaenda utd, and he was quoted saying "it was his dream to play for utd"
Sahin refused numerous times to join LFC, and wanted to join Arsenal, but Mou himself convinced him to join LFC because of his friend Rogders, but after he joined LFC, man said it was his dream to join LFC.
now, Klopp wants Gotze kwa mara nyingine tena, kama akijoin, unafikiri atasemaje? And last summer alitukataa??
and...still we have people ambao bado wanaamini maneno ya wachezaji..
"imagine a brazillian kuwa na dream ya kuchezea Chelsea tangu akiwa mtoto mdogo. Hahahahah." kuna watoto waliozaliwa 2000s na wameshaanza kucheza vikosi vya kwanza kwenye major leagues , hawa ambao the "only " memory ya liverpool walionayo walipokuwa na miaka ya chekechea ni ile fainal ya champions league 2005 kama wanakumbuka lakini ,hawa kweli watakuwa na "childhood dream" ya kucheze LFC kweli??
vizazi vinapita, historia zinaandikwa upya , hii timu "Kubwa" liverpool ikiendelea kwa spidi hii itabaki kwenye "historia" tu.