Robihno yule aliyepita Man city ndo hadanganyiki na hela?seriously?
Hizo pesa zinazomwagwa na Barcelona na Madrid kila msimu kukununua wachezaji huzioni, hao wachezaji kwenye ndoto za kuchezea huko si wangeenda kwa pay cut basii angalau ningeelewa kidogo.
Gerald alibaki Liverpool akiwa katika peak yake kwa sababu ya mapenzi na timu, ila hata Lampard na Terry wote walibaki Chelsea sababu ya mapenzi na timu, au kwa kuwa ni Chelsea hairuhusiwa kuitwa ni mapenzi ya timu?
Hivi uko serious kabisa kuwa huamini kuwa Chelsea ilikuwa na mashabiki africa /Tanzania kabla ujio wa mrusi? Kwa maana sisi tuliokuwa tunawashabikia weusi wenzetu akina Njitap,Babayaro ,Desailly na wengine hatu-qualify kuitwa mashabiki wa Chelsea kwa vigezo vyako?
Andy Carol Wakati anasajiliwa Liverpool ilimbidi Ku google team mates wake maana ukiacha Gerald na wengine wachache alikuwa haijui hata first eleven ya Liverpool, na huyu yuko huko huko U.K.
Hivi umesahau saga la usajili wa Mikel Obi? Alipoulizwa kwa nini amesaini na Chelsea Wakati alishasaini pre agreement na Man Utd alijibu tu kuwa mapenzi yake yako Chelsea ila Mawakala walim pressurelize asaini na "Timu kubwa" mwisho wa siku akachezea Chelsea na sasa yuko huko China anazichuma pesa ,si kweli kuwa wachezaji wote wanaocheza Chelsea wako hapo kwa ajili ya mshahara tu , wapo wengi wanaoweza kwenda kuchukua mishahara mikubwa ila wameamua kubaki chelsea
Robihno yule aliyepita Man city ndo hadanganyiki na hela?seriously?
Hizo pesa zinazomwagwa na Barcelona na Madrid kila msimu kukununua wachezaji huzioni, hao wachezaji kwenye ndoto za kuchezea huko si wangeenda kwa pay cut basii angalau ningeelewa kidogo.
Gerald alibaki Liverpool akiwa katika peak yake kwa sababu ya mapenzi na timu, ila hata Lampard na Terry wote walibaki Chelsea sababu ya mapenzi na timu, au kwa kuwa ni Chelsea hairuhusiwa kuitwa ni mapenzi ya timu?
Hivi uko serious kabisa kuwa huamini kuwa Chelsea ilikuwa na mashabiki africa /Tanzania kabla ujio wa mrusi? Kwa maana sisi tuliokuwa tunawashabikia weusi wenzetu akina Njitap,Babayaro ,Desailly na wengine hatu-qualify kuitwa mashabiki wa Chelsea kwa vigezo vyako?
Andy Carol Wakati anasajiliwa Liverpool ilimbidi Ku google team mates wake maana ukiacha Gerald na wengine wachache alikuwa haijui hata first eleven ya Liverpool, na huyu yuko huko huko U.K.
Hivi umesahau saga la usajili wa Mikel Obi? Alipoulizwa kwa nini amesaini na Chelsea Wakati alishasaini pre agreement na Man Utd alijibu tu kuwa mapenzi yake yako Chelsea ila Mawakala walim pressurelize asaini na "Timu kubwa" mwisho wa siku akachezea Chelsea na sasa yuko huko China anazichuma pesa ,si kweli kuwa wachezaji wote wanaocheza Chelsea wako hapo kwa ajili ya mshahara tu , wapo wengi wanaoweza kwenda kuchukua mishahara mikubwa ila wameamua kubaki chelsea.
kalou bhana..
hiyo ishu ya Andy Caroll sijawahi isikia kabisa. Naisikia kwako kwa Mara ya kwanza Aisee.
And Obi??? Man cried baada ya Move yake ya Utd ku-collapse..
i hate Man utd more than any other club in this world, but lets be honest here, who w'd choose Chelsea over United? Iwe kwa mapenzi binafsi au kwa pesa.
fatilia saga ya Obi Mikel, kiundani kidogo, Chris Hatherall wa Telegraph alishawahi kuireport kwa kifupi sana
Obi Mikel cried when Man Utd move failed - Telegraph Obi Mikel cried when Man Utd move failed