Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So, Klopp has left out Naby Keita kwenye CL squad this season.

Yes, kulikuwa na misundertanding, as Keita complained about game time, so kama imekuwa serious hivi, why just not letting him go? Dortmund & Leipzig were interested, tungemuacha aende, what is klopp trying to do?

kila siku Klopp alikuwa quoted kuwa Keita hajawahi ku-moan kuhusu game-time, but one time anapoamua ku-moan/complain utanaka kum-freeze out? ku-complain kuhusu game-time, siyo hata utovu wa nidhamu, kila mchezaji anataka kucheza, this is absurd.

Bust up ilitokea kabla ya TW kufungwa, kama alikuwa anataka kuondoka wangemuacha aende, sasa hii ambayo Klopp anamfanyia sio vizuri, na its always BLACK PLAYERS, always.

Unasemaje kuhusu Man city season hii wamesajili for cheap wachezaji Kama Akanji lakini wanaonekana watakuwa better kuliko wa man United.....what's your opinion?
 
Man, imekuwa muda mrefu sana mkuu, ni plans za maisha, but its all good.

Klopp, hajui when to let players go, and sentiment always inaishia kwenye favourtism, you see, when Klopp came at LFC, Henderson & Milner walikuwa ndiyo most bashed players kwenye squad, so badala ya kutafuta njia ya kuwa-replace, akaamua kufanya nao kazi ili ku-prove the world wrong, na kwa kuwa alikuwa anasifika kwa ku-turn bum players careers around, he was adamant kuwa atafanya the same kwa Henderson & Milner, so ukweli ni kuwa alifanikiwa, maana Henderson upped his performance kwa kiasi kikubwa sana mpaka kufikia kushinda individual awards (hiki kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwangu kwenye hii platform, hahaha, not because of his performances but ni kwasababu ya abuses and vile words), but mimi huwa ni mfuasi wa the long wait/game, you see, kwenye game ya football only talented footballers ndiyo huwa wana-last LONG, after our title winning season, Henderson started to struggle, kwasababu nyumba ya udongo ni ngumu sana ku-overstand nature ya muda, na wakulaumiwa hapa ni Klopp, badala ya kutaka kupata sifa za ku-turn petrol into water, alikuwa anatakiwa kuwa-move on hawa players, but sentiments, ego & the argue to prove people kama sisi wrong vili-cloud his judgement, players ambao amewa-embrace kwa muda mrefu sasa, ndiyo waliyo-play part kubwa kwa huu mwanzo wa msimu m-bovu, na kibaya zaidi HAAMINI anachokiona, and he's trying to correct it kwa kuendelea kuwachezesha akidhani kuwa wata-fluke tena their good form.

Thiago is 31 lakini bado akiwa uwanjani anaikamata game nzima on his OWN, this is talent, Milner & Modric are both 36/37, but angalia tofauti ya ubora kati ya hawa wachezaji, Modric anaweza kuja Anfield na kwenda toe to toe na MF ya Fabinho na Thiago, but Milner hawezi hata ku-maintain MF battle na McTominay, you see, Man city waliachana na Milner at 29 kwa kuwa waliona he's not GOOD ENOUGH, but years later bado anaanza games at LFC, how can you compete with City kwa mtindo huu? Unaanzaje kuwapa new contracts wachezaji kama hawa? as a coach lazima ujue muda gani unaotakiwa kuachia players waondoke, and its funny because Klopp wasnt bothered kupigania contract ya Wijnaldum kwasababu siyo muongeaji sana kwenye dressing room na siyo MROPOKAJI akiwa uwanjani, but you know what kama Wijnaldum angekuwepo last season instead of Henderson & Milner, tungeshinda PL au CL, because ni better player kuliko kina Henderson, its not even a rocket science, leadership means nothing kama kiwango chako cha mpira ni kidogo sana uwanjani, leadership inaendana na kile unacho-offer, juzi a lot of pundits walikuwa wanatoa praise kwa Milner baada ya kumropokea VVD baada ya goal la Sancho, goal ambalo lilitokana na blunder ya Henderson in the middle of the pitch, goal ambalo lilitokana na MF kuwa bypassed kiurahisi, goal lilitokana na MF kuwa mbovu na kushindwa kufanya kazi yake vizuri, and you know whats funny, klopp thought benching an out of form Fabinho for his favourites, kungesaidia kuleta experience/unity kwenye MF, BUT a ONE LEGGED FABINHO hawezi kuwa out-shined na Mctominay, na kama Fabinho angekuwepo on the pitch game isingeisha 2-1, you just dont bench your WC players kwenye games kubwa, you just dont, i know he wanted to send ujumbe kwa Fabinho kuwa "you're not special, kama naweza kuku-bench against Utd, basi naweza kuku-bench kwenye game yeyote ile, so fix your form", but anasahau kuwa he is responsible for this, msimu uliopita niliongea humu kuwa Fabinho anakuwa over-played, na task yake ni ngumu sana maana bila Thiago/Keita anakuwa kama yupo peke yake kwenye MF, so anakuwa ana cover a lot of spaces, na ni tabu sana ukichukulia kwamba he's not mobile sana, so utaona ni kiasi gani anavyoathirika physically, hii yote ni poor squad planning, overplaying players kwasababu hatuna proper backups, Fabinho & Trent/robertson/Firmino ni victims wa hili, and saa zingine hata ukiwa na backups hazitumiki (mfano Kostas) because Klopp is too scared kujaribu vitu vipya, (main reason hataki ku-move on from 433).

Henderson atarudi kutoka majeruhi, and he will continue to start games and cost us points week in, week out, wakat in reality Klopp anatakiwa ku-plan na Arthur now, pamoja na Thiago, but once Henderson akirudi circle itakuwa ni ile ile, na tutakuja humu tena kujiuliza imekuwaje? na kinachoumiza other players ni no matter how good they play, huwa wanakuwa dropped next games for either Henderson, Milner or robertson, msimu uliopita kuna games kadhaa Keita alikuwa dropped after good performances, tena countless games, unakumbuka kuhusu OX? dude was our perfect RCM kabla ya his injury against Roma, hata alivyorudi ilikuwa ngumu sana kurejea kwenye ubora wake because Klopp alikuwa anam-miss manage, kuna games kama ile ya Atletico or against Arsenal where Ox had the game of his life, but game zinazofata anakuwa dropped because of Milner or Henderson, unafikiri atapataje momentum? yes Ox and Keita are injury prones but Klopp ame-play part kubwa sana ku-hinder their careers, ndiyo maana Keita had enough, na huwezi amini nikikwambia kuwa Keita was fit for the most part of the last season, na kuwa ndiyo maana we were able to compete vizuri kwenye trophies zote nne because of his extra body in the midfield, ali-feature kwenye games zaidi ya 40 (kuanza & subs), but mara nyingi alikuwa dropped for no reasons, kama unakumbuka ile game dhidi ya chelsea at SB, keita got dropped for Milner, despite his good form, we drew that game, and ilikuwa ni moja kati ya games zilizotukosesha EPL trophy, because kama tungepata alama 3, theres no way tungekuwa tunategemea Aston Villa kufanya miracle kwenye game ya mwisho na Man City.

Play your inform players, play wachezaji ambao wapo kwenye good form and hungry, kwa mfano Thiago akirudi it means he will take his LCM spot back, and Elliot ana-develop kwa kasi sana, but sitoshangaa kama Henderson akirudi, klopp atampa RCM role na kum-bench Elliot, na tutakuja humu kujiuliza why Elliot ame-stuck kama ilivyo kwa curtis jones, na kiukweli going forward midfield options should be Fabinho,Thiago, Arthur, Elliot, Keita, Curtis and Bajicetic, kama klopp yupo serious na huu msimu anatakiwa amuweke mbali Milner na team, Henderson kucheza as a 6 kwenye games ndogo haiwezi kuwa tatizo, but can we even trust him there? he got overrun by Mctominay the least talented Utd player, Henderson & Milner wakiendelea kupewa minutes huu msimu wote utakuwa ni wasteful, na kama Klopp atam-drop Elliot for Henderson ili ku-prove a point, then ni LAZIMA tuanze kuuliza maswali magumu kuhusu Klopp.

Jude is so talented, but he's not a world beater yet, he's still a kid, so anaweza kuja LFC na akahitaji time ya ku-adjust, suala la kuwa tunamsubiria Jude ni la kweli, but at the same time, huwezi ukapoteza msimu mzima kwaajili ya kumsubiria mchezaji mmoja, what was stopping us ku-bid kwa other MF wenye good prices? na transfer window hii ilikuwa stacked kwenye suala la MFs a lot of MFs wame-move teams (Onana, Bissouma, Nunes, Vitinha, Paredes, Paqueta, Tchouameni, Sanches, Solar, Fabian Ruiz, Enzo Fernandez, Ketelaere, Kessie etc), but apparently kwenye hiyo group ya talented MFs hatukuona wachezaji bora zaidi ya Henderson na Milner, tumeacha mpaka Onana kaenda Everton, wote hawa tungewapata for peanuts ni Tchouameni tu ndiyo alikuwa ana-cost a lot of money, but wengine ni 40m to free transfers.

Moises Caicedo, ni complete MF, japokuwa hajacheza zaidi ya games 20 pale Brighton but you can see his TALENT, we tried to sign him in the last days of the transfer window but we got priced out, Brighton were holding for 50m, but sisi kwenda that late haikusaidia kabisa, but kama tungeenda 2-3 weeks before the window, i'm sure tungempata, because Brighton wangekuwa na nafasi ya kutafuta replacement, but we left it too let, na hatukuwa hata na pesa ya kutosha, but to be honest and in my opinion, Caicedo & either Kone/Sucic/Enzo Fernandez for the combined £100m ni good business, kuliko Jude peke yake, na hata hivyo sidhani kama Kone atakuwa na price tag ile ile next season.

Ramsey & Neves kuwa-price out kutoka Villa & Wolves, ni lazima uwe na budget kit ya 60-70m, na nadhani Aston wanaweza ku-demand zaidi ya 70m kwa Ramsey (British tag), so ni very unlikely moves.
Namlaumu sana klopp kwa kumuacha mane aondoke.... gap la mane n kubwa mnooo
 
Unasemaje kuhusu Man city season hii wamesajili for cheap wachezaji Kama Akanji lakini wanaonekana watakuwa better kuliko wa man United.....what's your opinion?

Tuzungumze mambo ya timu yetu hivyo vingine havina maana
 
Naunga mkono hoja. Ukitaka kufanikiwa tembea na aliefanikiwa.
Ingekua amri yangu ingekua tunakwenda jino kwa jino kwa Pep kwenye upana na uimara wa kikosi ili kuleta matokeo tunayohitaji lakini kila nikiwaza ni kama vile ma bosi wetu wana ridhika na ushiriki wa UCL kwa sababu hata kufika fainali mpunga wa maana upo...

Inakua hivi Liverpool kimahesabu pesa za TV msimu uliopita watakaua wamepata mapesa ya kutosha tena wakiwazidi hata Pep kwa kuweza kufika fainali UCL... Mapato haya naona kwa FSG wanaona sawa kwa kusajili kiduchu na kuingiza ela kama hizi inakua ahueni kwao sababu hata mishahara wanalipa kiasi...

Kimsingi FSG wananufaika zaidi na Liverpool kuliko Liverpool anavyonufaika na FSG... Pep aliwai kusema kama ela ipo Manchester City kwa nini asinunue wachezaji anaowataka? Kwa hio Pep kua na kikosi kipana na kushinda EPL zote hizi ni sababu sapoti anapewa...

Klopp kwa mara ya kwanza hili swali la usajili wa Midfielder lilimtoa kwenye comfort zone yake akapaniki balaa na kusema yeye sio mtu sahihi kuulizwa mambo ya usajili...

Mpira sasa umekua ni ishu ya pesa hakuna kingine zaidi ya smart buying, zile zama za kutengeza wachezaji kupitia academy zimeisha hivyo ni kununua kununua kununua,.. Kuna maswali mengi hua hayana majibu tazama ishu kama ya Ox huyu alitakiwa dirisha linafunguliwa awe wa kwanza kuondoka...

Pep alimwachia David Silva akiwa kwenye peak kwa kuona Foden anaweza kucheza vyema nafasi yake. Ingekua Liverpool naamini mpaka sasa Silva angekua Liverpool tungekua nae bado... Kazi ipo.

Kama ni ku aim lets topple Pep kwanza kwenye EPL aafu tujitzamaze kwenye UCL kukomaa na Real Madrid.

YNWA

Kuna hizi Timu zimetueka kwenye hatari ya kutukosesha Top 4.

1) Man City
2) Chelsea
3) Man United
4) Arsenal

Liverpool & Spurs tunaweza jikuta tunagombania nafasi ya 5&6.

Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni lakini hatari ipo mbele yetu.

Zile kauli za kuwa "Man United na Arsenal ndiyo kawaida yao" basi msimu huu tusizotegemee sana.
 
Huyu Nunez hamna kitu huyu anawahi kupanick mno, Mané yeye alikuwa akichezewa lafu anacheka tu kakin hili li Nunez litaoga redcard nyingi.

Since day one sijawahi kuukubali usajili ya wa huyu mwehu (Najua ana uwezo Mkubwa sana ila sikubaliani na nidhamu yake ya Kisela uwanjani).

Hapa tumepoteza pesa bure tu! Tulikuwa na uwezo wa kumnunua Halaand na Change ya Mshahara wake wa Miaka miwili inabakia lakini Klopp akaamua kwenda kuchukua huyu Mvuta Bange ambaye nahisi alikuwa Mkabaji kabla ya kuwa Mchezaji mpira.
 
Since day one sijawahi kuukubali usajili ya wa huyu mwehu.

Pesa ya halaand ilikuwa ndefu sana mkuu
 
Our Champions League squad has been announced for the group stages of the competition:

Goalkeepers: Alisson Becker, Adrian, Caoimhin Kelleher. Defenders: Joe Gomez, Virgil van Dijk, Ibrahima Konate, Kostas Tsimikas, Calvin Ramsay, Andy Robertson, Joel Matip, Nat Phillips, Trent Alexander-Arnold. Midfielders: Fabinho, Thiago Alcantara, James Milner, Jordan Henderson, Fabio Carvalho, Arthur, Stefan Bajcetic: Forwards: Roberto Firmino, Mohamed Salah, Diogo Jota, Luis Diaz, Darwin Nunez.

Selected 'B list' players: Harvey Davies, Curtis Jones, Harvey Elliott, Luke Chambers, Isaac Mabaya.
 
Keita na Eliot hawamo kwenye squadView attachment 2345902
Screenshot_20220904-223346_Chrome.jpg
View attachment 2345904View attachment 2345903
 
Kuna hizi Timu zimetueka kwenye hatari ya kutukosesha Top 4.

1) Man City
2) Chelsea
3) Man United
4) Arsenal

Liverpool & Spurs tunaweza jikuta tunagombania nafasi ya 5&6.

Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni lakini hatari ipo mbele yetu.

Zile kauli za kuwa "Man United na Arsenal ndiyo kawaida yao" basi msimu huu tusizotegemee sana.

Mkuu nimekuelewa ila mwezi huu wachezaji wetu wengi watakuwawamerudi na sisi wachezaji wetu wote wakiwa fit hakuna timu yakutufunga hapo epl. Ngoja tuone ili tukose sababu kabisa tuwe tuna mlaumu klopp tu.

Mkuu Kila timu ina matatizo yake hapo ukiondoa city hao wengine hawana uzoefu wowote wakushinda mechi zote raundi ya pili kwa sasa.

Liverpool tunaweza kutofungwa mechi zote raundi ya pili kama man city ,yaani raundi ya pili tukamaliza bila kufungwa.

hao wengine hawawezi ndio maana city anatangazaga ubingwa mapema akiwa na hao lakini kwetu hawezi mpaka game ya mwisho.
Watapiga kelele sasa hivi lakini raundi ya pili hawana jeuri hata Chelsea msimu uliopita kelele zilikuwa nyinyi hivi hivi lakini raundi ya pili chali tukamaliza juu yao.

Ulishawahi kusema hapa sasa hivi ili huwe bingwa lazima points kazaa ufikishe.

Sasa hao Man U na Chelsea me nawahesabia mechi bado mechi 2 raundi ya kwanza hii wakipoteza wanapoteza sifa ya kuwa bingwa .

Bingwa hafungwagi mechi 4 kwenye ligi ya hapo epl.

Unakumbuka vizuri tatizo letu la January ila tumeshalekebisha sasa hivi.

Mkuu nimeona ni mapema sana tusubirie game 5 zijazo ndio zitaonesha kwamba safari hii ni wasindikizaji ? Maana tuna game na hao waliopo kwenye top 5 hao.
 
Since day one sijawahi kuukubali usajili ya wa huyu mwehu.

Hapa tumepoteza pesa bure tu! Tulikuwa na uwezo wa kumnunua Halaand na Change ya Mshahara wake wa Miaka miwili inabakia lakini Klopp akaamua kwenda kuchukua huyu Mvuta Bange ambaye nahisi alikuwa Mkabaji kabla ya kuwa Mchezaji mpira.

.
 
Hivi unajua katika hizo injuries zetu Mchezaji hasa ni mmoja tu THIAGO?
Hivyo tusiseme tunasubiri Wachezaji wapone bali tuseme tu tunamsubiri THIAGO apone.

Na muda wa THIAGO kupona kwake na kuumia tena ni sawa na ule muda baina ya Bao ya kwanza na ya pili kwenye kunyandua.

Hivyo msimu huu tuuhesabu tu kuwa ni wa maumivu.

Man City anabeba Kombe February trust me.
 
Safe to say the only team that will be contending EPL title this season will be Arsenal,Man City and Spurs only. While Chelsea, Liverpool and Man U who are currently building their team will be contending 4th place.
SIKU HAZIPO MBALI MTAKUJA KUKAA KIMYA,NA KUSHANGAA NA KUJIULIZA ,HII NDIYO LIVERPOOL NILIYOITOA KWENYE RELI?
 
Mkuu nimekuelewa ila mwezi huu wachezaji wetu wengi watakuwawamerudi na sisi wachezaji wetu wote wakiwa fit hakuna timu yakutufunga hapo epl. Ngoja tuone ili tukose sababu kabisa tuwe tuna mlaumu klopp tu.

Mkuu Kila timu ina matatizo yake hapo ukiondoa city hao wengine hawana uzoefu wowote wakushinda mechi zote raundi ya pili kwa sasa.

Liverpool tunaweza kutofungwa mechi zote raundi ya pili kama man city ,yaani raundi ya pili tukamaliza bila kufungwa.

hao wengine hawawezi ndio maana city anatangazaga ubingwa mapema akiwa na hao lakini kwetu hawezi mpaka game ya mwisho.
Watapiga kelele sasa hivi lakini raundi ya pili hawana jeuri hata Chelsea msimu uliopita kelele zilikuwa nyinyi hivi hivi lakini raundi ya pili chali tukamaliza juu yao.

Ulishawahi kusema hapa sasa hivi ili huwe bingwa lazima points kazaa ufikishe.

Sasa hao Man U na Chelsea me nawahesabia mechi bado mechi 2 raundi ya kwanza hii wakipoteza wanapoteza sifa ya kuwa bingwa .

Bingwa hafungwagi mechi 4 kwenye ligi ya hapo epl.

Unakumbuka vizuri tatizo letu la January ila tumeshalekebisha sasa hivi.

Mkuu nimeona ni mapema sana tusubirie game 5 zijazo ndio zitaonesha kwamba safari hii ni wasindikizaji ? Maana tuna game na hao waliopo kwenye top 5 hao.
Hope against hope.
 
Hivi unajua katika hizo injuries zetu Mchezaji hasa ni mmoja tu THIAGO?
Hivyo tusiseme tunasubiri Wachezaji wapone bali tuseme tu tunamsubiri THIAGO apone.

Na muda wa THIAGO kupona kwake na kuumia tena ni sawa na ule muda baina ya Bao ya kwanza na ya pili kwenye kunyandua.

Hivyo msimu huu tuuhesabu tu kuwa ni wa maumivu.

Man City anabeba Kombe February trust me.
ni kweli maana , Keita, Ox, Jones ni hamna kitu kwa hyo kuumia kwa Thiago tuu eti ndio anguko letu.

pia kupoteana kwa kina fabinho, vvd, trent, kina Diaz badala ya kufunga wanagongesha miamba

Nunez anapiga mtu kichwa tukiwa nyuma goli moja

klopp na stail yake ya High line, na wapuuzi kina Vvd kuwa wavivu kukaba na kutegea offside, huu mfumo ndo aliviziwa Arteta kuliwa chuma 3 Old toilet pale
 
Kuna hizi Timu zimetueka kwenye hatari ya kutukosesha Top 4.

1) Man City
2) Chelsea
3) Man United
4) Arsenal

Liverpool & Spurs tunaweza jikuta tunagombania nafasi ya 5&6.

Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni lakini hatari ipo mbele yetu.

Zile kauli za kuwa "Man United na Arsenal ndiyo kawaida yao" basi msimu huu tusizotegemee sana.
Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Since day one sijawahi kuukubali usajili ya wa huyu mwehu (Najua ana uwezo Mkubwa sana ila sikubaliani na nidhamu yake ya Kisela uwanjani).

Hapa tumepoteza pesa bure tu! Tulikuwa na uwezo wa kumnunua Halaand na Change ya Mshahara wake wa Miaka miwili inabakia lakini Klopp akaamua kwenda kuchukua huyu Mvuta Bange ambaye nahisi alikuwa Mkabaji kabla ya kuwa Mchezaji mpira.

Nimecheka

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom