FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,305
Naona mmeshainamishwa mnaguswa ulolo na AntonioNgoja tumalizane kwanza na westham tuje tuungaane kumlaumu Kilopuu![]()
Naona mmeshainamishwa mnaguswa ulolo na AntonioNgoja tumalizane kwanza na westham tuje tuungaane kumlaumu Kilopuu![]()
EPL ni ligi au takataka?Halafu kuna mtu anakuja kukwambia ligi bora ni Hispania

Mimi ni liverpool mkeretwa ila nakubaliana na weweLana ya Sadio Manee iwandame paka mchoke
Mkuu Nunez ni poacher sio winga kama Mane hua actually anacheza lone striker kwa mafanikio, sasa tazama kwa Klopp leo alikua anacheza pembeni upande wa Diaz yaaani yeye mfungaji ndio anakua mtengenezaji... Sio rahisi... Mpaka pale Klopp atacheza mfumo unambeba Nunez ndio utaona uzuri wake. Lakini ukitazama ni kama bado main threat yetu ni Salah kwa namna ya upangaji wa mfumo... Lets Klopp adapt 4 2 3 1 huku Nunez akiwa lead striker utaona matokeo mazuri.
Kimsingi tatizo letu letu lipo pale pale kila mechi tunaanza tumepoza sana yaaani hakuna mpango madhubuti ya kusaka goli yaaani tupo tupo tu. Inafahamika vyema sasa 4 3 3 imeshajuliwa na timu pinzani ni muda mwafaka sasa tuodokane na huu mfumo kuleta ubora wa main target Nunez.
YNWA
View attachment 2344615
Klopp msimu huu sub pekee iliyofanya kazi vyema ni ya Fabio tu hawa wengine amechemka sana.
YNWA
Liverpool itoe kabisa hapo Mkuu.
Lilishakuwa timu la mchongo Pumbavu sana![]()





whats happening here?Umeongea/umeandika kwa uchungu sana kop...lakini sidhan kama wao (kocha na wachezaji) wanaumia kama sisi mashabiki tunavoumia....Hawa Waingereza ndugu yangu ni kuwaogopa sana. Umeona Klopp leo anatoa main creator wake Trent anaingiza Babu Millie... Form is temporary class is permanent hivyo japo Trent ana struggle kutengeneza klosi za nguvu lakini dogo bado ndio mchezaji hatari kwetu kwa kutupia klosi kali... Kumtoa na kuleta Milner najiuliza sana Klopp alitaka sare ama amevurugwa aisee...
Hili la Edwards sidhani kama angepata huyo MF kwanza Klopp kaamua hata huyo Melo baada ya jeraha la Henderson tofauti na hapo asingenunua kabisa.. Too much pride kwamba he can't swallow his words ni hatari sanaaa kua na mwalimu wa hivi...
Ki ukweli ndugu yangu naona kama Klopp ameshafika mwisho wa mawazo yake na msimu huu ajitadhimini sana hatuwezi kua wasidikizaji wa Pep kila msimu kwa kusema ooh oil money wakati wachezaji wao wamenunua kwa bei chee tu huku sisi tukiaminishwa eti tusubiri Bellingham 2023 June huku Klopp akijua fika hii MF yake inahitaji kufumuliwa yote na sio mchezaji mmoja tu...
Anakomaa na wagonjwa kwani analasimishwa au anataka mwenyewe. Tangu nisikie Kieta anaongozwa mkataba niliishiwa pozi..
Leo sijui atazingizi kipi maana kwa sasa hakosagi lawama.
YNWA
halland city wamemnunua kwa 50m, sisi nunez kwa 80m kweli sio haki aisee.......Nunez anatakiwa akamwangalie huko mdogo wake Halland anacho kifanya, saiv mwenzake anagoli 10![]()