THE FSG AND KLOPP TALES.
Well, it seems we are trying our hardest to go full circle, but what really went wrong? why tumeanza msimu vibaya sana, i mean its only 5 games, but form tuliyoanza nayo ni acceptable? well ni HAPANA, can it be fixed? well ni NDIYO, but lets au tuangalie problem ilianzia wapi hasa, mpaka kupelekea mwanzo wa msimu m-baya kama huu, (You know, blind fans/proper reds watasema kuwa tuna-overreact sana, but root ya haya yanayojiri leo yalianza kusemwa tangu 2019, after our CL win, so hakuna jipya, and its funny because people wanao-run one of biggest clubs in the world, chose to be naive & arrogant kwasababu ya 2 major trophies, and watu wa pembeni tuliojaribu ku-raise our concerns, we got attacked & abused, HAPA na kwenye platforms nyingine)
Kuna tales mbili, ya FSG na ya Klopp, zote hizi zinategemeana, tatizo linaloonekana leo, linategemeana na hizi two parties, nitaanza na FSG.
FSG TALES.
Well, its so clear kuwa LIVERPOOL FOOTBALL CLUB imewa-outgrown FSG, Club as a whole imekuwa too big for them.
Listen, FSG did not save us from administration, they saw a very good business opportunity and TOOK it, LFC were worth £300m at that time, hence kulikuwa na a LOT of bidders, so yeyote ambaye angeshinda a bidding war, asingeruhusu brand kama LFC kuingia kwenye administration, BUT wanastahili pongezi kwa kuirudisha club kwenye msitari (i will always give them flowers zao kwenye hili), in a ideal world, chini ya reign yao tumeshuhudia signatures wachezaji mahiri, Coaches mahiri, ambao kwa pamoja wamechangia sana kubadilisha mwenendo wa club as a whole, BUT at what cost?
FSG/LFC bado ina-operate katika policy ya sell to buy (kuuza na kununua), ili ku-balance books na net expenditures, hii ina maana kuwa owners hawa-invest money kwenye club, club inajiendesha yenyewe kulingana na assets zilizopo (Players), ikitokea kuna ishu ya money-injection kubwa inahitajika ambayo ipo nje ya uwezo wa assets zilizopo, but owners watatumia brand ya club kukopa nje, hence tuna deni kubwa tu, while tuna-operate kwenye sell to buy policy, katika kipindi cha miaka mitano, we have won kila kombe ambalo tumepambania (PL, CL, CWC, FA, EF, CS), tumeingia CL final mara 3, tumeingia EL final mara 1, tumemaliza kwenye nafasi nzuri sana kwenye league for 4-5 years running, hizi zote ni PESA, hizi zote ni RETURNS, as for the last 7 years, stocks za brand zimepanda, ongezeko kubwa sana la fanbase worldwide, sponsors wengi, TV money nyingi, demand ya brand kwenye market ni kubwa sana, as tunamiliki na ku-employ world class superstars, pesa yote inaenda wapi kama tu Anfield stand mpya tunajenga kwa mkopo? it took us months ku-renew mkataba wa Salah, tena baada ya kuamua kumuachia Mane.
Well, huwezi kupinga, kuwa model ya FSG ilitusaidia sana, as tulifanya rebuild bila kutumia pesa nyingi (kama wanavyofanya United now), but kwa hapa tulipofika, model ya sell to buy haitufai tena, now hatushindanii top 4, tunashindania league na CL, na kama utatumia mustakabali wa last season, we are still the top 2 team in Englad, and top 2 team in europe, BAR tuliyofikia ni kubwa sana, tunashindana na the likes of City, PSG, Madrid etc, hatutakiwi ku-entartain hizi sera tena, because hazitatupeleka mbele, mpira una-evolve, pesa imekuwa nyingi sana kwenye mpira, tumeshuhudia now, teams kama Villa, Wolves, Westaham, Everton etc zinasajili talented players kama Kamara, Nunes, Paqueta, Onana etc, hawa wachezaji wote wana uwezo wa kuanza na kutumika kwenye top 6 clubs za England, but FSG bado wanaendelea na sera yao, bila kuzingatia Club imefika kwenye HATUA ipi, huwezi amini nikikwambia kuwa kabla ya Arthur, tulikuwa tumesign a CM mmoja katika kipindi cha miaka MINNE (4 YEARS), hii siyo alama ya Club ambayo inahitaji kuendelea ku-compete, na our last big transfer summer ilikuwa ni baada ya kumuuza Coutinho, pesa yake ili-cover a lot of signings, na ndiyo window hii walikuja kina Fabinho, Alisson na tuliweza ku-close deals za keita & VVD, na its not a coincidence kuwa our biggest summer ilikuwa ni ile tuliyomuuza coutinho, na hatujawahi kufanya big sale yeyote tangu wakati ule, na you can see ni jinsi gani inavyotuumiza now, mnakumbuka msimu ambao tulimuuza Lovren, and decided not to replace him, na kilichotukuta ule msimu ni kuwa tulipa top 4 game ya mwisho kabisa, maana back 4 yote ilipata shida ya injuries, we had to play Phillips & Rhys, au Fabinho na henderson kama part time CBs, tulipoteza msimu mzima kwasababu ya lack of funding, tukaja kum-replace Lovren na Konate a season later, because we had to sell some players to fund the transfer, sasa ni club gani yenye hadhi kama ya LFC inafanya mambo kama haya?
Tangu msimu uliopita, ilikuwa ni wazi kuwa we needed TWO CMs, because Thiago/Keita/Ox are always injured, Henderson & Milner are ageing, and we had kids ambao hawakuwa tayari Elliot & Jones, so its clear kuwa we needed bodies in the Midfield, because, zile draws zote za msimu uliopita zingekuwa ni WINS kama Thiago/Keita wangekuwa uwanjani, but wote hawakuwepo kwasababu ya injuries, Klopp had to play a half-fit Thiago kwenye CL final, so hizi ishara zote zilionyesha kuwa main target ya transfer window ni kununua CMs, na kweli dirisha lilivyofunguliwa we tried for Tchouameni, tuli-bid £65m raising to 70m, Monaco walikataa, na wakati bado tunaendelea na mazungunzo ya kuwa-lawball Monaco (kama kawaida yetu because huwa tunajiona ni smart kuliko clubs zingine), tulikuwa tunajua kabisa kuwa Madrid wapo interested, so it was a matter of timing, JUST TIMING, yaani maliza deal kabla madrid hawaja-make a move, because huwezi ku-compete nao kwa pesa, sasa madrid walivyomkosa Mbappe, ili ku-appease fans wao, wakaja direct kwa Tchouameni, bid ya €100m, uamuzi ukabali kwa mchezaji, ambaye akachagua Madrid, sasa baada ya hii deal ku-fail, tunaambiwa kuwa club haikuona m-badala wa Tchouameni kwenye market, and walikuwa wana-plan ku-move for Jude next summer, so hii ilikuwa inamaanisha kuwa dunia nzima wachezaji ambao walikuwa na uwezo na bora zaidi ya Henderson, Milner, Ox, Jones, Keita ni Jude na Tchouameni tu, and its funny because ile 65m tuliyobid kwa Tchouameni ndiyo hiyo hiyo tukaipeleka kwa Benfica kwaajili ya Nunez, na mind you hii hela ilipatikana kwa sales za Mane, Minamino, Neco, Ben Davies, hence our net spend is so laughable, so LAUGHABLE.
Sasa, zikawa zinakuja excuses kuwa tunahitaji right players kwenye midfield, it was a lie, tulikuwa tunategemea kununua kiungo wa range ya £40m, kwa kutegemea kumuuza Nat phillips na Ox, kwa bahati mbaya Ox akaumia (West Ham, Forest etc walikuwa na interest), then Julian Ward ame-fail kumuuza Phillips kwasababu ya price tags zisizokuwa na utimamu, na kipindi hichi ambacho tulikuwa tunahangaika kukusanya pesa, tuli-register interests kwa Vitinha, Nunes, Kone, Caicedo, Sucic, but at the end, Vitinha moved to PSG, Nunes moved to Wolves, yaani WOLVES walitu-outbid, na reality ni kuwa Nunes was waiting for us and City, Pep alikuwa na interest na City wangemove-in kama Bernardo angeondoka, ndiyo maana his agents alikataa offer ya West Ham, na ya Wolves mara ya kwanza, lakini baada ya kuona hatuna muelekeo tena, wakaamua kukubali move ya Wolves, ambayo siyo mbaya kabisa, tulishindwa kuwa-price out kina Kone, Sucic, Caicedo kwasababu tulikuwa tuna-bid peanuts.
Then baada ya kugundua kuwa, Keita anaweza kukaa nje kwa muda kidogo, Klopp akaja kusema kuwa he was wrong na anahitaji MF, but kwa pesa ipi? na baada ya hii kauli zilitoka articles nyingi kuwa pesa ya ku-spend ipo, na watu wakaamini kabisa, kama hela ya kuspend ilikuwepo why hatuku-act baada ya kufail deal ya Tchouameni back in April? tulikuwa tunajua kuwa Jude hawezi ku-move this summer, why hatukuweka pesa kwa MFs wengine waliokuwa na good prices? what was stopping us? then baada ya ile kauli ya Klopp watu wakajua tuta-target big players, no we went back in the market kutafuta stop gaps, na things got worse baada ya injury ya Henderson, we asked for Tielemans, Douglas Luiz, Konrad Laimer etc, but our offers zilikuwa ni below £20m (imagine), the we got Arthur, kwa loan fee ya £3m, after Klopp kutuambia mwanzo wa transfer window kuwa hatasign stop gaps etc, so transfer window ya msimu huu imeonesha nini? its clear imeonesha kuwa FSG are out of their depth, imeonesha kuwa hawapo tayari ku-make the right step, ni excuses after excuses, na kubwa ni kuwa we are waiting for Jude, so it means we have thrown the whole season away kwasababu ya Jude ambaye hatuna guarantee kuwa tutampata, as Madrid wameonesha interest tayari, hizi zote ni excuses za incomptent owners.
Na kibaya zaidi ni kuwa fans hawa-demand big money signings, kina Vitinha, Kone, Nunes etc ni £40m players, na ni very talented, VERY TALENTED na ni big upgrade kwa the likes of Milner and Henderson, BIG UPGRADE.
na kama unaona nawaonea FSG, kumbuka kuwa Klopp had to field a midfield of Henderson & Milner at OLD TRAFFORD, baada ya Transfer windows zaidi ya 14 alizokuwa nazo at Liverpool.
We have OUTGROWN FSG.
KLOPP TALES
Do i feel sorry for Klopp? NO, yeye pia ni part ya tatizo? BIG YES.
Well, Klopp loves the idea kuwa yeye ni miracle worker, i mean tales za kuwa he won PL & CL with the likes of Henderson and other bums, zinampa furaha sana na zinamfanya asiwe ruthless enough.
Klopp ni yes man, hana balls za kuwa-call out Owners kwa lack of funding, it took Keita & Henderson injuries kwa yeye kuanza kutoa digs kwa owners, 6-7 days kabla ya dirisha la usajili kufungwa, na hata alivyoonesha his concerns, JOHN had to fly kutoka US mpaka Liverpool kuonana naye, hii yote inaonesha ana POWE kiasi gani, JOHN alikuwa anajua kuwa Klopp ndiyo mtu pekee anayeweza ku-turn fans against them, ni mtu ambaye ameifikisha LFC hapo ilipo, pesa & deals zote wanazopata ni kwasababu ya kazi ya Klopp, ndiyo maana walifanya kila njia kumsainisha mkataba mpya, but Klopp anaijua power yake at LFC? kwanini anaridhika na anachopewa? Conte alitishia kuondoka spurs, timeona Levy na ubahili wake wote aki-spend a lot of pesa dirisha hili, Pep Guardiola always yupo vocal kuhusu signings, na ndiyo maana kila msimu ana-reflesh his team, lakini ni tofauti sana kwa Klopp, ni dhaifu, ni mpole na ameridhika na hali iliyopo, maana kwa kocha ambaye anahitaji kushinda kila siku, asingekubali kuanza msimu mpya na MF yenye Henderson na Milner, matter of fact huwezo kuona Pep ana wachezaji aina ya Henderson na Milner kwenye team yake, Pep aliyofika City aliondoa kina Yaya,Joe Hart, then kina Delph, Kompany, Aguero, Fernandinho, Jesus, Sterling na wengine wengi tu, but kama ingekuwa Klopp mpaka sasa angekuwa na kina Yaya Toure na kina Kompany, because hana balls za ku-call out owners, hana balls za ku-drop deadwoods.
Then, kuna case nyingine, ni kuwa ha-call out owners kwasababu hataki ku-drop his favourite players? this is very much possible, because ukiachana na madhaifu ya FSG, they didnt want to offer Milner & Henderson new contracts, but ni KLOPP ndiye alipigana mpaka wakapata mikataba hii, ambayo ndiyo inaizamisha LFC sasa, ndiyo maana i dont feel sorry for him, kama angekuwa ruthless enough, hawa kina Henderson, Milner, Ox etc wasingekuwepo LFC now, MF ilikuwa inahitaji a major REVAMP, but he chose to give Milner & Henderson new contracts, knowing kuwa FSG ni tight owners, unapo-demand new big contracts kwa deadwoods inamaana focus ya wages inaongezeka, na FSG hawawezi kuleta BIG BODIES (wages kubwa) kama kuna watu wapo wanapokea big wages, na ukweli ni kuwa Henderson, Milner, Ox, Keita wote wanapokea over £100k p/w, Henderson is on £200k, sasa what do you expect from stupid owners like FSG? you think they will back you after this? NO, they wont.
Then, Klopp weakness nyingine ni kushindwa kutambua ni muda gani wa ku-move players on, hii ndiyo ilikuwa downfall yake at Dortmund, nasema hivi kwasababu wachezaji kama Emre Can, Gini, Lovren etc wangeamua kubaki LFC, wangekuwepo mpaka LEO, he's too SENTIMENTAL, na ni kitu ambacho kinam-cost sana, hii weakness ndiyo inafanya tuendelee kuwaona kina Henderson uwanjani, theres no way Milner anatakiwa kuanza games at LFC, wanatucost mara ngapi? kwanini unawang'ang'ania? EXPERIENCE? uzoefu upi kama kila siku wanatu-cost games? LEADERSHIP? uongozi gani kama kila siku wanatu-cost games? funny enough tu wachezaji ambao ni wazoefu, viongozi na world class kama Thiago, VVD, Fabinho, Alisson, Matip, Salah etc, leo game ya Everton, Milner alikuwa anaenda kuzamisha meli, goal la Coady ilikuwa ni mistake ya Milner, thank God ilikuwa ni offside, sasa uzoefu upi? kama mtu akiingia uwanjani analeta tu chaos? uzoefu upi? kwanini World Class Coach kama Klopp unataka kuharibu legacy yako kwaajili ya wachezaji wachache sana?
Yes, nakubali kuwa Milner na Henderson, wametusaidia, na huwezi ku-down play the fact kuwa wali-play part kubwa kwenye our PL & CL winning seasons, but their legs are not working anymore, walikuwa wanatakiwa kuwa phased out, hawana wanacho-offer now kwenye team, Henderson msimu kachomesha goals kama games za Fulham, Crystal palace na Man utd, but i know kama angekuwa fit angeanza game ya Everton, na i'm 100% angechomesha tena, Klopp is blind, proper reds are blind, but kama hizi games 3 za mwanzo hazijawaamsha kuhusu Henderson & Milner, then hawawezi kuamma tena, CL finalist, unaenda OT na kiungo chako kinakuwa nominated na McTominay, kwanini usifumbue macho? atleast zamani kuwa blind kuhusu Milner & Henderson kulikuwa kunaweza kuwa justfied kwasababu wanasaidia japokuwa walikuwa ni average, but physical side of their game zilikuwa zinasaidia, but now hazipo, Henderson cant even track-back now, (angalia goal la rashford baada ya blunder aliyofanya), this is Klopp and FSG fault, na ndiyo maana nikasema hizi TALES zinashabihihana, na zinategemeana, lack of funding, and lack of guts from the manager, FSG hawatimizi majukumu yao because manager wao ni coward, so hawana pressure, nina uhakika FSG wangekuwa tofauti kama manager angekuwa Conte, Mourinho, Pep, Tuchel etc, na ndiyo maana walikuwa makini sana katika kuchagua manager, Kumpata Klopp ni big win kwao, but Klopp naye ameamua kuwa too loyal kwa FSG kuliko fans ambao wanaibeba Club.
Mpira ni full-circle, huwezi kutegemea kumake a step kama huwekezi kwenye team, Klopp alikuwa na wakato mgumu sana kipindi kile cha backline crisis, but msimu huu kaamua tena kuuanza akiwa ni midfield crisis, it means HAJIFUNZI au anaamua kuwa NAIVE, na kuwapa a free pas ma-boss wake, teams around us zinajizatiti kila siku, Klopp & his team bado wanadhani kuwa ni City tu ndiyo our main challengers, NO, mpira una evolve, na nilisema humu kuwa Arsenal na Utd hawawezo kuwa bums forever, Utd have got a very good coach, mwenye clear vision, yes it will take them time, but R
ETH anaweza kuwarudisha wakimpa muda na resources, na of-course itakuwa rahisi because Klopp hakuwa na privelege ya kupewa players kama Casemiro, Eriksen, Antony etc kwenye msimu wake wa kwanza at LFC, so you can imagine kuwa Utd hawako too far off, then kuna Newcastle, they're building something very special, wana 2-3 years za kuanza ku-challenge, then look at Spurs under Conte, etc, then theres Klopp's team, ambayo hana mtu wa kumlalamikia zaidi yake mwenyewe.
FSG & KLOPP are both to blame, na state ya Club ilipo now, but i feel Klopp alaumiwe zaidi kwa kushindwa kuipambanua power yake at LFC, he has won us everything, ana HAKI ya ku-demand TRANFERS, ana HAKI ya kupewa bugdet kit kubwa without sales, ana HAKI ya ku-call out owners at every opportuniy, but kama amechagu kuwa LOYAL kwa owners, then kinachoendelea sasa ni wajibu wake, because yeye kuamua kuwa LOYAL kwa kina JOHN, ndiyo kuna-fanya tulazimishwe kushuhudia wavuvi wa samaki wakihangaika kukimbizana na mpira kwenye midfield, hii ni JUU yake, na matokeo aina yeyote ya uwanjani ni juu yake, because he chose this, amechagua kutetea owners hata kipindi hiki alichokuwa anahitaji new LEGS & BODIES kwenye MIDFIELD.
Having saying THAT, ni kuwa season yetu yote inategemea fitness ya Thiago, Keita na Arthur (LCMs), especially Thiago, maana our whole MF imetengenezwa around him, so asipokuwepo inakuwa ni comedy, bad enough ni kuwa his back ups ni injury prones pia, hence we really needed LEGS in the midfield, and its sad because one strong & aggressive MF (Vitinha, Nunes, Kone, and even Caicedo) wouldve chaged EVERYTHING, but we chose to be NAIVE.
So i believe, Thiago akirudi, We will be fine, but we will need to manage his minutes, and maybe go back for a midfielder in january, (Kone or Caicedo if BM/Birighton watakubali kufanya biashara), and ili kutopata maumivu makubwa, ni vyema tuka-aim zaidi na top 4 for now (Thiago akirudi) then baada ya January, tuangalie tumefikia wapi, maana form tuliyonayo sasa ni mid-table/relegation form, Klopp needs to fix this kwa kile alichonacho mezani, hana haki ya ku-complain, because yeye mwenyewe alisema kuwa yupo HAPPY na this MIDFIELD.
FSG & KLOPP have let us down so FAR, ni wajibu wao kutafuta solution, na ni URGENT.