Mane wakati anaondoka alikuwa na miaka 30 tayari, ikiwa na maana, tayari alikuwa asha-peak.
Na, tayari strength za aina ya uchezaji wake zilikuwa zishaanza kupungua (Pace, ball accerelation, dribbling, behind runs), na ndiyo maana msimu uliopita, Klopp moved him katikati as a false 9, eneo ambalo hali-hitaji sana pace/physical or intensive ball accerelation.
My opinion tangu mwanzo, ilikuwa tulikuwa tunahitaji kumpa Mane a 1-2 years deal, same to Firmino, ili kuwe na proper phasing-out, but FSG wapo so tight, na wasingeweza ku-alert deal kama hiyo, because Mane ni lazima ange-demand a big pay-raise.
Inaumiza Mane kuondoka, but at 30, ameshatupa kila kombe, and Nunez ni good signing, na value yake ni nzuri, he's 22, na ana mengi ya kujifunza na ku-prove, kila jambo huwa linakuwa na mwisho, Mane kuondoka LFC ilikuwa ni inevitable, ni lazima kuna siku angeondoka, cha kushukuru ni kuwa ameondoka kipindi ambacho tayari tuna good/potential replacements. Salah, Nunez, Diaz, Jota, Firmino, Carvalho ni very good attacking depth, kinachotukwamisha kwasasa ni MF tu, maana hata backline yetu imejitosheleza (Alisson, Kelleher, Trent, Ramsay, Robertson, Tsimkas, Konate, Gomez, VVD, Matip)
Tumefanya uzembe mkubwa sana kwenye MF, but our attack & defense, vyote viko poa & well planned.