

Liverpumba, liverpunga, liverpumbu, livermadraw, livermakabati yaani hizi kitimoto za Anfield ziliona zikimuongezea mshahara Sadio Mane atafaidi sana sio?Nyie liverpumbu mnajua mmeondoka na mikeka yangu mingapi yani nyie ni takataka kabisa yani na msimu huu mkibena hata carabao mniite aisha.
Mtakatifu Anne hizi draw zinatosha anzeni kutengeneza makabati sasa.Nyie nani ataenda kuwafungia mabao??
Subiri Mendy atingishe huku sisi tunatikisa nyavu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Liverpool itoe kabisa hapo Mkuu.Safe to say the only team that will be contending EPL title this season will be Arsenal,Man City and Spurs only. While Chelsea, Liverpool and Man U who are currently building their team will be contending 4th place.
Utd gari limewakaIlionekana kama Man Utd ndio wabaya sana msimu huu, leo nataka niwakumbushe mpo nao kwenye boti moja.
Wewe sio wa kusema hayoLiverpool itoe kabisa hapo Mkuu.
Lilishakuwa timu la mchongo Pumbavu sana💔
Mkuu Nunez ni poacher sio winga kama Mane hua actually anacheza lone striker kwa mafanikio, sasa tazama kwa Klopp leo alikua anacheza pembeni upande wa Diaz yaaani yeye mfungaji ndio anakua mtengenezaji... Sio rahisi... Mpaka pale Klopp atacheza mfumo unambeba Nunez ndio utaona uzuri wake. Lakini ukitazama ni kama bado main threat yetu ni Salah kwa namna ya upangaji wa mfumo... Lets Klopp adapt 4 2 3 1 huku Nunez akiwa lead striker utaona matokeo mazuri.Huyu Nunez hamna kitu huyu anawahi kupanick mno, Mané yeye alikuwa akichezewa lafu anacheka tu kakin hili li Nunez litaoga redcard nyingi.
Hawa Waingereza ndugu yangu ni kuwaogopa sana. Umeona Klopp leo anatoa main creator wake Trent anaingiza Babu Millie... Form is temporary class is permanent hivyo japo Trent ana struggle kutengeneza klosi za nguvu lakini dogo bado ndio mchezaji hatari kwetu kwa kutupia klosi kali... Kumtoa na kuleta Milner najiuliza sana Klopp alitaka sare ama amevurugwa aisee...Pengo la Edwards ni kubwa mno...Bora arudishwe.... Pesa ya Nunez tungepata stable midfielders hata wawili...ox angeshauzwa..... tungekuwa nafuu sana