Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal au Man city akichukua carabao au Fa cup ni Mickey mouse cup lakini Liverpool akichukua Carabao au Fa cup ni makombe makubwa na special
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hivi mambo yamebadilika sana ili kuchungua ubingwa wa EPL au UCL inabidi timu iwe na mentality ya kushinda kila mechi inabidi tiwe iwe na mentality ya Ugiant kama ilivyo Bayern Munich kupiga vitimu vyote nyumbani na ugenini. Na hili linawezekekama EPL, Guardiola ameproove hili kwa kutupilia mbali mambo ya kusema sijui EPL ni ngumu,sijui kushinda mechi karibia zote ni ngumu yeye hakujali hilo kwahiyo amejitengenezea Ugiant England. Liverpool inabidi muepukane na utamaduni wa kugawana na point na hizi timu mnazoziita top six ndo mchukue ubingwa, msimu huu mlikuwa vizuri sana lakini mkashindwa kuchukua point angalau tatu kwa City, Tottenham na Chelsea. Hamuwezi kuchukua ubingwa kwa kutegemea timu nyingine zimsimamishe mshindani wenu ili nyie mtwae ubingwa.
 
Liverpool kwa Madrid huwa ni wachumba tu, we fikria mwaka jana Madrid ilivyokuwa mbovu lakini ilimtoa Liverpool robo fainali kwa agg ya 3-1, hapo ndo nilisema Liverpool ni wanyonge wa asili kwa Madrid.
 
Unajua hizi mbanga baada ya kutupiga zile final mbili Basi wakajua kila kitu Ni maji Basi kazi Yao Ni kunywa tu ..Sasa Jana wamekutana na sifongo[emoji23][emoji23](kamulize Yesu sifongo Ni Nini) hahahaha
Liverkuku ni washindi wa penalty, bila ya penalty hizi kuku haziwezi kushinda kombe lolote.
 
Mkuu nilichokiona pia yaani kuna wachezaji Lazima waondeke pale Liverpool,kama keita,Henderson,ox halafu naona kama Klopp mechi moja zinamshinda sana.
Ma pedestrians pale tunao wa kutosha, ingekua powa sana FSG wawateme wafuatao hata bure maana ni mizigo
1) Ox
2) Keita
3) Milner
4) Henderson

Tunahitaji AM mmoja matata wa kupasua deep laying teams kama jana Real Madrid defended in numbers kiasi hakuna pasi ya kuwachana ilipenye ki urahisi. Pale anahitajika Debruyne mmoja wa pasi mswaki maana Thiago sio AM yeye ana dictate tempo kati kati while huku kwenye D tunakua toothless nje ya 18 hatuna magoli ya kutosha.

All in all nampa big up kipa wa Madrid jana alionyesha uwezo bora sana.

YNWA
 
Fainal mbili unapoteza mbele ya Madirid. Hata ile ya 2019 vs Spurs ungekutana na opponent mgumu ingekuwa habari nyingine. Ninyi siyo fainal materials, hamuwezi kuamua ushindi ndani ya dkk 90.
Aiseee naona umeimbuka kwa bwebwe zote...

Haya ndugu wewe faino materio hujakutana na huyo Real Madrid msimu huu tena mara mbili?? Na ukaambulia kipigo safiii bila ubishiiii.

Sio Chelsea, sio Manchester City mwenye mdomo mbele ya Real Madrid wote tumepigika roho safiiiiii bila majibu

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…