Dirisha lishafungwo now back to the real business......
Msimu huu Sina mategemeo makubwa sanaa na kikosi kilichopo kwa kua maeneo muhimu bado hajawagusa kama vile beki wa kushoto na beki wa kulia maana Flipmong na Kerkez hawajakua hata na output theluthi ya Trent na prime Robbo....pia nilitegemea kuona tukisajili DM kama Kone , Ederson nk ili kumpa nafasi Ryan kucheza namba yake pendwa 8... Klabu imeona hakuna haja ingawa wote ni mashihdi kwamba Ryan kuna wakati anazidiwa na kua by passed....
Pale mbele upande wa Salah haujawa addressed ipasavyo huku wakijua vyema magoli mengi ya kwetu hutokea upande ule.
Sina hakika namna Gani kocha amejipanga kuhakikisha tunakua washindani na sio wasidikizaji...
Muda utasema majibu ya usajili hua ni uwanjani....
Sijapenda huu mfumo wa sasa wa kusajili finished players kama Isak, Florian, Barcola., yaani tumekua kama Real Madrid sasa . I wish turejee Kule kwa kuona vipaji ambazo sio polished kama tulivyo vile akina Gini, Mane, Salah, Fabiinho, na all time best purchase Robbo.
YNWA