King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,456
Ni hatariiView attachment 2243096
Mane kafanya nini kumzidi Salah mana hiyo ni individual award,Salah kama kazidiwa magoli na assist kwenye UEFA na EPL hapo sawaSalah akiingia hata Top 3 ya Ballon D'or itakuwa ni ukichaa kuwahi kutokea kwenye Historia ya Soccer.
Ni
1) Benzema
2) Mane
3) KDB
Leo mtaongea hadi kisambaa dadeki! lakini ukweli unabaki palepale kuwa Madrid ni babalenu nyinyi nikuku tu, na mtabaki kuwa kuku.This applied to all
1) Chelsea
2) Manure
3) Arsenal
4) Liverpool
What did they get in the last seven seasons? But for those dumb asses football (Plastic) fanboys think only Liverpool competed for the last seven seasons.
Pathetic fools
Wenzio wabovu wameweza kupata magoli walipocheza na Madrid. Wewe mzima vipi ukashindwa? Ukiliwa ushaliwa tu hakuna kuliwa kwa tabu wala kwa wepesi.Wabovu wote hao,mnaongozaje goli 3 fainali,zinarudi zote kizembe?
Wametufunga lkn wamepata taabu hata nyie mmeona
Mane kafanya nini kumzidi Salah mana hiyo ni individual award,Salah kama kazidiwa magoli na assist kwenye UEFA na EPL hapo sawa
Wewe Liverkuku pumzika ulikuwa unasumbua tu mahakama jana watu wamekunyoa. Fainali yenyewe umepita kwenye mgongo wa Inter Milan, Benfica na Villarreal hizo si timu za kucheza Europa.Sisi tumetolewa fainali, na tuliingia fainali je' nyie?
Jurgen Klopp has unshakeable confidence.
Ameshasema Tafuta Hoteli kabisa huko Instambul kwa ajili ya Fainali ya Next season
View attachment 2243182
Jurgen Klopp has unshakeable confidence.
Ameshasema Tafuta Hoteli kabisa huko Instambul kwa ajili ya Fainali ya Next season
View attachment 2243182
Tutafute Striker na Winga mapema kwasababu issue ya Mane na Salah haijakaa sawa.
Next wapi mwakani hufiki fainali.Mechi ya jana tuliingia uwanjani na visasi zaidi kuliko akili.
Wachezaji badala ya kuwa Calm na kifocus kwenye how to win a trophy badala yake wamefocus kwenye how to pay back them for what they did to them in 2018.
Next Klopp must control this
Teeh teeh.Real Madrid Undisputed Winner 🏆 14
Kuvaa Jezi ya Real Madrid kama mchezaji ni heshima kubwa sana ya kujivunia maishani.
Sijui ilikuwaje Barcelona ikapenyezwa ionekane kuwa kila Mchezaji ana ndoto ya kuichezea Barcelona kama Real while Barcelona ni rubbish tu.
So sorry to Mbappe! He could earn more and more money at Madrid pamoja na heshima
mtaboresha wap sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]tim fainali 3 bila kupata goli afu atatokea mlevi anakwambia liva ndio tim yenye washambuliaji atar duniani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji119]Nimegundua,wanaoiponda Liverpool ni form four leaver na wengi hawajui mpira.wasomi wanaojua mpira wangetupa what next na maboresho ya timu yetu.YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] binamu kuwa na huruma bas. LolUtoto mwingi,
Ndo matatizo ya Kijiji kikikosa wazee,
Kinageuka genge la wahuni na panya road[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] bas ndo mtulie, mnakuaga na maneno sana nyie.Ndio maana yake