Aise timu za Spain ni bora kuliko za EPL.Ni aibu kubwa Sana kuchabangwa na timu moja hatimaye kuwa bingwa.
Walianza kutupanda kichwani Hawa kuku ..Sasa vishingo vimekatwa wanatembea na kiwili wili tu 😂😂😂😂🤣🤣Wazee wa quadruple ya mchongo.
Mpaka mda huu wamelala.
Sijui wana raha gani hawa liverkuku.
Wazee wa imagine being ass
Vini kasokomezea ndani bila kujali maumivu watakayoyapata.
Ebu niitie mashabiki wake tuje tupate vingereza na uchambuzi wa hapa na pale.
Three finals without single goal on open play is worst statement to write or prouding at all even though you have won two mickey mouse cups through penalties.Nyie mnaoelewa mmefika ngapi msimu huu? Maana sisi tumefika fainali tatu.
Daah.Ina uma sana
Punguza hasiraNimegundua,wanaoiponda Liverpool ni form four leaver na wengi hawajui mpira.wasomi wanaojua mpira wangetupa what next na maboresho ya timu yetu.YNWA
Ni hatariiWalifikili ile ni Spurs [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Final 4..
Kashinda moja ...
Sasa huyo ni manager au kilaza [emoji23]
The blues🔵🔵Kulipa kisasi anaiweza Chelsea tu kawaulize Barca walichotufanyia pale darajani na sisi tulichowafanyia pale camp nue😂😂😂
Huyu vvd kabinua kabisa ..au Kuna kitu anataka apachikwe Nini🤣🤣🤣🤣Tukamwombe msamaha Magwaya.... View attachment 2243039
Mmakua kawapiga kimoja cha nguruwe daah poleni sana Liverpool ndiyo mpira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapema sana Wanangu wa liverpool mnakufa ubavu kuna Mmakua Vinicious ubavu Fedirico verde
Pigaa hawa liverpool
Hakukuwa na injury yoyote.Sidhani kama kuna kisingizio kingineKwenye Final ya UCL kwa vyovyote vile VVD na FABINHO warudi uwanjani
Ingekua ni timu ya EPL imefanya hivi kwa Laliga ungesikia huo mdomo ungepigwa.. Honestly EPL imejaa hypocrisy ya hali ya juu. Maneno mengi mno.. Ukiwasikiliza wachambuzi unaweza kusema kuna la maana sana huko EPL..Real Madrid kawafunga top three wote EPL msimu huu.
1.Man city
2.Liverpool
3.Chelsea
Chelsea alifanya hivyo msimu uliopitaIngekua ni timu ya EPL imefanya hivi kwa Laliga ungesikia huo mdomo ungepigwa.. Honestly EPL imejaa hypocrisy ya hali ya juu. Maneno mengi mno.. Ukiwasikiliza wachambuzi unaweza kusema kuna la maana sana huko EPL..
Imagine ingekua ingekua ni EPL team imefunga mabingwa wote wa ligi kubwa tano kama walivyofanya Madrid msimu ule wanampiga bingwa wa German, EPL, France na Itali..
Imagine EPL team ichukua 3 consecutive UCL...
Mngetembea uchu huko barabarani.
Hapa tutapiga kambi week nzima nahamtufanyi kitu mkitaka mtuuwe. Mnakelele sana mashabiki wa Liverpool hadi mnakera.Nadhani huu uzi wa Liverpool ni watu wanajadiliana team yao kwa mazuri na mabaya sasa hawa wanaacha uzi wa team zao kutwa wanashinda humu kuongelea Liverpool inaonesha sisi ni kama maji utayanywa tu.