





kuku mnatia huruma jamani.Mlongo vumililahi, madrid venavo, va man city hee,






matakatakaImagine being us![]()
Niliwambia mapema kuwa leo mtalala na viatu mnywe maji mengi sijui hamkunielewa vizuriBinafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
RM akifika ¼ final huwa hakubali kutoka kirahisi.Binafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.





