kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,777
- 12,186
Hujaangalia mpira,sio nyie wa kufungwa 5😆😆tabu ipi mmewapa? kushindwa kuscore hata goal moja ndio tabu mliyowapa?
Hujaangalia mpira,sio nyie wa kufungwa 5😆😆tabu ipi mmewapa? kushindwa kuscore hata goal moja ndio tabu mliyowapa?
Agent aliyemtoa aliyemtuma au?Courtous agent wa Chelsea, ogopa matepeli
UEFA sio CARABAOKuku kishingoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hivo,hawakua na lolote la kutosha.For sure. Mikono ya Courtois imepeleka kombe Madrid.
Waache washushe machungu mkuu [emoji1][emoji1][emoji1]Sisi tumetolewa fainali, na tuliingia fainali je' nyie?
Huyuhuyu madrid alikupiga 3 ndani ya dk5Mnafanya parade na carabao ?
Fala Nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi kwelikweli, nao wamekuja kuchangia mambo ya UEFA.Chakushangaza hadi Arsenal wapo hum [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Liverpool kama baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko hapohapo
Haya ndo matatizo ya beki kuzoea kushambulia, Trent kasahau kukaba kaichomesha timu.Salah, diaz na Trent hawako vizuri
Ha ha ha ...[emoji28]REVENGE YA NYOOOOKO
Timu imejaa vitoto tupu[emoji28]Leo Ramos hayupo
Salah kacheza hadi sasa
Karius hayupo golini yupo GK class
Hamna visingizio leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] leo ndo bahati haikua kwenu eeeh?Tumecheza mpira mzuri,bahati haikua kwetu
Ulimsahau Vini.Hatima yetu naiona ipo mikononi mwa Mane au Fabinho, let's see in the next 45 minutes.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulidhani Madrid ni sawa na vitimu vyenu vya EPL mnavyopiga nyumbani na ugenini, vinawatangulia mnarudisha na kuvifunga?
Sahii kabisa,Luiz Diaz n mchezaj ambaye anatakiwaaingie bado dk 20 awe Kama game changer pale timu pinzan inapokuwa imechoka
Wenzetu camavinga humtumia kwa namna hyo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Benzema akamuita sarah geto [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] View attachment 2242860
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]Bado tunayo nafasi ya kuchukua Quadruple jamani , ondoeni shaka.
Second leg tunapindua meza kibabe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unaikumbuka hii comment yako. Tuliitunza sana.Liverpool ndio mabingwa ya makombe yote msimu huu tunzeni hh koment