Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nawaza sijui klop asajili watu gani ili 23 tunyanyue kwapa za epl,,
but i hope mwakani tutanyanyua, mana hata ule msimu wa 19 tulikosa kwa point 1, then 20 tukanyanyua.......

vijana wamefanya kazi nzuri sana mwaka huu
 
Screenshot_20220522_210605_com.android.chrome_edit_107022169108148.jpg

YNWA
 
Kuna ile Kauli iliyoasisiwa na Man United na badala yake ikaongezewa nguvu na Arsenal then Chelsea wakaiongezea Nguvu ya kuwa EPL imeanzishwa 1992 naona karibuni itapotea.

  • Man United waliianzisha kauli hii wakati Liverpool ana Makombe 18 ya Ligi huku wao wakiwa na Makombe machache, kutokana na hilo wakaona njia pekee ya kuwaziba mdomo Liverpool ni kuanza kuhesabu Makombe kuanzia mwaka 1992 ili Liverpool asiwe na kombe hata 1 wao wabaki na Makombe ya kuanzia 1992.
  • Na kuanzia mwaka 1997 Arsenal walipoanza tena kubeba Makombe wakaunga Mkono kauli ya Manchester United hivyo wao wakawa na Makombe 3 wakati Liverpool hana hata moja.
  • Kuanzia mwaka 2005 na Chelsea akaunga Mkono kauli ya Manchester United akafikisha Makombe 5 wakati Liverpool hana hata 1.
  • Ikumbukwe hao wote walianzisha hiyo kauli ili wamkomoe Liverpool tu na wao kujisifia.

Kwa bahati mbaya sasa Man City ameibuka na Tayari ameshabeba EPL 6 kumzidi Arsenal 3 na Chelsea 5. Hii inamaana Man City kwa hali anayokwenda nayo si muda mrefu ataifikia Rekodi ya Man United na kuipitia.
  • Ikumbukwe kuwa Man United alianzisha propaganda hiyo ili awe Bingwa anayeshika Rekodi ya kubeba EPL mara nyingi na sio Liverpool.
  • Sasa Man City akitimiza Makombe 13 ya EPL hapo Man United atakuja kubadili kauli yake ya kuwa EPL imeanzishwa mwaka 1992 na atasema Mpira haukuanza 1992 ili yahesabiwe Makombe yake yafike 20.

Hizi poor analysis baada ya kukosa ubingwa ama?
 
Mkuu wanaosema hivyo sio Man U fans au Arsenal fans hizo ni data za wenyewe epl
Ukweli ni kwamba Liver ana epl title 1
FB_IMG_1653243650412.jpg
 
Klopp lazima ajifunze sasa kuwa kwenye EPL hakuna room for mistake.
Ahakikishe kila mchezo aingize Timu na Winning mentality.
No room for unnecessary rotation.
- Target iwe ni kukusanya 95+ points at the end of the season.

Hapo ndiyo anaweza kumshinda Pep.
 
mkuu msimu huu kwakweli mistake zilikua chache sana, bahati haikua upande wetu.... ila draw na spurs ilimaliza mbio zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom