Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kauli au mizaha ya kijinga kama hii unamdhalilishaji Mama yako Aliyekuzaa akakulea na kukuza. Sioni sababu za kuandika lugha chafu. Mpira ni burudani na utani lakini sio maneno machafu kama unayo andika hapa. Tatizo ni utoto, huna imani au hofu ya Mungu au ukosefu wa maadili?
Mpotezee huyo ana stress za litimu lake
 
Liverpool....somaaaaa hio .... liverpoooooool nasema somaaaaa hiyooooooo ........
jackgrealish-20220524-0002.jpg
 
Soma hiyoooo jogoo broilaaaa
jackgrealish-20220524-0001.jpg
 

Attachments

  • mancity-20220524-0010.jpg
    mancity-20220524-0010.jpg
    35 KB · Views: 24
Somaaa hiyo liverpool...iiiiiiii..piiiiiiii...eeeeee...looooooo...paaaaa paaaa kofiiii kofiii piga mtaaaaaa chiniiiiii ...nyanyuka wewe Liverpool somaaa hiyoooooooo
mancityworld-20220522-0003.jpg
 
Watu wengine sijui wanamatatizo gani..sisi tuna makombe mawili tayari...na tuna Fainali uefa lkn bado mtu anaona kama tunalingana na mwenye kakombe kamoja...Imagine being us
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom