cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,297
NakutafutaaaaaahAchana na sisi
NakutafutaaaaaahAchana na sisi
Nyie hamkubanduliwa?Mmebanduliwa![]()
mkuu ni kweli kufikiria hivyo kumbuka madrid wamemtoa PSG,Chelsea ,City na jogoo mmemtoa benfica ,villarial simkumbuki mnyonge mwingine nani .kiufupi aliye bora anaonekana alipotoka.Binafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Lala brohz, utapata nimonia bureee,Utakaaga kuliota UEFA ndotoni. Sie 'fala fala' tushayabeba sita, wewe 'mjanja mjanja' hujawahi kuwa nalo hata moja.






Liver wamechezea nafasiLiverpool shot on target 7 0 goal
Real madrid shot on target 2 1 goal
Sijui nikalale tu? Maana namaliza bando langu tu![]()
Wabovu wote hao,mnaongozaje goli 3 fainali,zinarudi zote kizembe?
Wametufunga lkn wamepata taabu hata nyie mmeona






nyie je? Na hapo gori lilikataliwaImagine admin wenu wa twitter alikuwa anazungumza habari za parade.
You guys hampo serious.





Man of the matchthibaut courtois ni mpumbavu sana aisee.

Liverpool kama baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko hapohapo







matusi haya jamaniImagine being ASSImagine being us![]()
Bora mungekosa FA na CARABAO kuliko UEFA. Ninyi ni best looser







Man U amewahi kumfunga Barcelona. FuatiliaHapa tushapigwa kwakwel fainal mbili na timu moja lakn tunashindwa kuifunga
Timu za Spain sio timu rahis sidhan kama kuna mwingereza amewah kuifunga timu ya Spain fainali iwe Europa au champion league
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ...uyu Ni kipa na nusu
